Karibu Tukuhudumie katika Duka Letu la Uwakala Lililopo Tandika

Karibu Tukuhudumie katika Duka Letu la Uwakala Lililopo Tandika

TensorFlow

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2020
Posts
993
Reaction score
1,286
Karibu katika duka letu la Uwakala, Digital Financial Bridge (DFB), lililopo Tandika Sokoni. Tunatoa huduma za miamala ya simu kwa mitandao yote ikiwemo:

  • Tigo Pesa
  • Airtel Money
  • M-Pesa
  • Halo Pesa
  • T-Pesa
  • Azam Pesa

Pia, tunatoa huduma za miamala ya benki mbalimbali kama vile:

  • Absa
  • Access Bank
  • Amana
  • ACB
  • Azania
  • PBZ
  • BOA
  • TCB
  • EcoBank
  • EXIM
  • DTB
  • Mkombozi
  • Maendeleo
  • Equity
  • NBC
  • CRDB
  • NMB

Tunapatikana Tandika Sokoni, takribani mita 20 upande wa kushoto ukitokea Stendi ya Daladala ya Mbezi kuelekea Kituo cha Polisi. Tunapakana na Msikiti wa Chihota.

Tufuatilie pia katika mitandao ya:


Tunafungua kuanzia saa moja asubuhi mpaka saa mbili jioni siku za Jumatatu - Jumamosi.

Ahsanteni na Karibuni sana.
 
Sawa
Maeneo Yangu Kuanzia T/Mikiroshini, Buza, Davis Corner
 
Back
Top Bottom