Sure tunafanya Eli79. Katika hilo tutahitaji kuongea kwa kirefu na undani na wewe. maana biashara huanza na wazo. Consultant anakusaidia kuliframe, kulidesign na kuliimplement wazo lako. Si afya sana consultant ndio akupe wazo japo inawezekana, wazo unatakiwa ulibuni mwenyewe. consultant tutakusaidia wazo hilo likubalike na hao wenzako ambao uko nao joint venture.
Napendekeza tuonane tuweze kuongea kwa kirefu. unaweza kuja ofisini kwangu au vinginevyo. Karibu sana. send me your contact at
anjoa_limited@yahoo.com or 0759692024. Thank you