Karibu tukujengee Mashimo ya Majitaka kwa Mifumo ya kisasa

Karibu tukujengee Mashimo ya Majitaka kwa Mifumo ya kisasa

KELVIN KOMBO

New Member
Joined
Sep 20, 2024
Posts
1
Reaction score
0
ALPHA CONSTRUCTION GROUP

📌Huduma zetu zinapatikana kanda ya ziwa na nchini kote kwa ujumla.

🔰Karibu tukujengee Mashimo ya Majitaka kwa Mifumo ya kisasa.

FAIDA ZAKE.

🔰Mashimo haya yanazingatia mfumo wa kibaiolojia Yaani hayatoi harufu, hayajai, na mfumo wa ufyonzaji majitaka ni mfumo salama kwa mazingira.

🔰Mashimo haya hayajai kamwe yaani hutahitaji magari ya kunyonya majitaka
tena endapo shimo Lakota litajaa.

🔰Yanachukua nafasi ndogo sana.

🔰Gharama yake ni ndogo

🔰Kupitia mfumo huu mpya na wa kisasa wa majitaka unaweza yatumia katika muktadha wote yaani nyumba, nyumba za wapangaji, vituo vya afya, mashuleni na taasisi mbalimbali.

Wasiliana nasi kupitia
0750344266

"NYUMBA NI CHOO na UJANJA SI KUWA NA CHOO TU BALI CHOO KISICHOJAA"
 

Attachments

  • IMG_20240810_102028_008.jpg
    IMG_20240810_102028_008.jpg
    386.1 KB · Views: 3
  • IMG_20240810_101955_866.jpg
    IMG_20240810_101955_866.jpg
    195.7 KB · Views: 4
  • IMG_20240810_101640_934.jpg
    IMG_20240810_101640_934.jpg
    343.1 KB · Views: 4
Back
Top Bottom