Karibu tukujengee mtambo wa Biogas

ndiyomkuusana

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
666
Reaction score
426
MITAMBO YA BIOGAS

Karibuni , Tuwajengee mtambo wa Biogas kulingana na Mahitaji yako, iwe nyumbani, mashule, Bar, . Mitambo hii inatumia vinyesi vya wanyama, Kama ,ng'ombe, kuku,kondoo na wanyama wowote wafugwao .

Gharama:
Gharama zetu zinategemea na aina na ukubwa wa mtambo unaotaka na mazingira ya Eneo ambalo mtambo utajengwa.

Tunajenga mitabo kuanzia 8metrecube, 15 metrecube, 21 metrecube, 30 ,45, 50,60 ,100,200 metre cube. Kwa mtambo mdogo wa mita cube 8 gharama Ina range Kati ya mil. 6 mpaka mil 7. But gharama halisi itapatikana baada ya survey ya Eneo Husika

Karibuni.

Tunapatikana Pugu Dar es salaam, Pia tunafika Mikoni Popote ndani ya Tanzania

Unaweza kutucheki ,piga simu au Whatsapp +255686124826 au 0624987746

 
Hio biogas ni kwaajili ya matumizi ya nn?
 

Siku ukifanikiwa cha binadamu unishtue nataka umeme
 
Yaani ni faida gani napata kwa kuinvest 7m? Sustainability ya hiyo energy ikoje?
 
Habari za bio gas huwa zinapelekea nisielewe hoja za ajabu eti gesi ya Mtwara haifai kwa matumizi ya majumbani! Yaani vinyesi vya kuku vinazalisha gesi kwa matumizi ya kupikia hadi kuwasha taa ila natural gas yetu haifai!

Kama kuna mtu anaelewa argument hii ya ajabu anieleweshe tafadhali! It seems kuna cartel imehodhi uagizaji wa gesi so hawataki watanzania wafaidi resource aliyowapa Muumba. Hebu serikali waje na ufafanuzi wa kueleweka.
 
Karibu Tuwajenge mtambo wa Biogas , iwe nyumbani kwako, Kwenye Mashule , Hotel, Hospital, Hostels, Mitambo yetu Ni Life Time quarantee.

Tunatengeneza kuanzia 8Metrecube ,15 ,21,32,50,65,100 mpaka 200 Metrecube. Tunza Mazingira Acha kutumia Kuni na Mkaa tumia Biogas ,Tucheki @franselly 0686124826.

 

Attachments

  • IMG-20230111-WA0041.jpg
    67.7 KB · Views: 13
Inategemea na size ya mtambo na mahali ambalo mtambo utajengwa ,kwa Taarifa zaidi tucheki 0686124826
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…