Habari wana Jamii forums mimi ni mhandisi umeme upande wa ushauri, kwa yeyote mwenye uhitaji wa kuandaliwa na kutengenezewa michoro ya umeme(lighting with power system) pamoja na mfumo wa vifaa vidhibiti moto (fire detection system), karibu tukuhudumie tunafanya kazi ya kuandaa michoro kwa muda muafaka kwa gharama nafuu sana na yenye ubora dhabiti karibuni sana.