Karibu tushauriane kwenye ujenzi. Kwa hii Ramani ya nyumba naweza kutumia kiasi gani mpaka kukamilika pamoja na furniture za ndani.

last Commando

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2023
Posts
233
Reaction score
304
Salam, wakuu nimeweka picha ya Ramani ya nyumba ninayotaka kujenga mwakani baada msimu wa masika kuisha.

Ningependa kupewa ufafanuzi juu ya gharama zote za ujenzi hadi furniture mpaka kukamilika kwa nyumba hii.

Karibu wadau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…