Karibu tushiriki katika biashara ya eneo la michezo ya watoto (Children's Playground)

Founder Tz

Member
Joined
Feb 20, 2022
Posts
47
Reaction score
129
Hello friends, nafikiri ni wakati wa kufanya visivyo fanyika kwa mazoea.

Hii biashara ni promising, kutokana kuongezeka kwa ujanja ujanja kwa generation hii ya watoto wanaopenda good times. Pia wazazi wenyewe wa generation yetu wangependa watoto wao wa-enjoy.

Hii itajumuisha, kununua ardhi na kuinstall playground za kisasa.

Mengine tutadiscuss zaidi. KARIBU.........View attachment 2125067

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…