Karibu tutete kinyakyusa..

Karibu tutete kinyakyusa..

NeyB

Member
Joined
Oct 20, 2012
Posts
24
Reaction score
5
Nataman kujua kilugha changu cha kinyakyusa jaman,the bad thing is naskia tu kuitikia sasa kimbembe..sina bibi,babu nor aunties wakunifundisha basi naishia kudakia hicho hicho cha baba na mama wakiongea...kama leo najickia kweli kuongea kinyakyusa jmn ila dah!kujibu sasa ndo mbombo jilipo hapooo...but salamu tu aah niko fiti...karibuni wanyaki na wengine wote mnaofahamu hii lugha tutete kinyumbani...
 
Back
Top Bottom