Karibu tuvune magogo na mbao ya Mninga na Mkulungu

Karibu tuvune magogo na mbao ya Mninga na Mkulungu

Mizega

Senior Member
Joined
Feb 10, 2021
Posts
150
Reaction score
321
Nina shamba ekari 50 lina miti ya Asili mingi ikiwemo mninga na mkulungu, yeyote aliyetayari aje inbox tuzungumze tushirikiane. Serikali imeanza kutoa vibali vya uvunaji.

Karibun sana
 
Kuna jamaa zangu waturuki magufuli alitaifisha mbao zao wakakimbia,.. Next month wanarudi, wakianza operations zao nitawagusia kuhusu hili maana walikuwa wanadili na mbao ngumu
 
Wadau unahitaji waweke nguvu kwenye nini?
Mimi nina shamba na leseni, mdau kwenye uvunaji inahitajika mashine chainsaw na gharama za usafirishaji...au nimpe kibali na avune shambani mm anipe changu
 
Mimi nina shamba na leseni, mdau kwenye uvunaji inahitajika mashine chainsaw na gharama za usafirishaji...au nimpe kibali na avune shambani mm anipe changu
Uko mkoa gani ?
 
AD960233-5430-4D3C-A696-F3D1BA795B86.jpeg

😋
 
Back
Top Bottom