Karibu uchimbiwe kisima kwa ghalama nafuu kabisa

tawa driller

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2015
Posts
296
Reaction score
152
TAWA WATER PROFFESIONAL

Ni kampuni ya uchimbaji wa visima.

Tunachimba visima Mashambani pamoja na kuchimba visima majumbani kwa matumizi binafsi.

Pia tunafanya utafiti wa upatikanaji wa maji ardhini ( Underground Water Survey ) pamoja na ufungaji wa pampu za maji za kawaida na za Solari.

Bei zetu za uchimbaji Kwa Dar es salaam Na pwani ni Tshs 70000/= kwa mita moja. Tutakuwekea Bomba Upvc na pampu.

Bei zetu kwa mikoani ni Tshs 90000/= kwa mita moja. Tutakuwekea Bomba Upvc na Gravel.

Bei zetu za Utafiti wa maji ardhini unategemea na umbali wa saiti ilipo.

Mawasiliano: 0764418248
0625576082.
IMG-20190616-WA0002.jpeg
IMG_20181119_120339.jpeg
IMG_20180906_111626.jpeg
FB_IMG_1560332553384.jpeg
 
Kwa kawaida,Maji yanapatikanaa baada ya mita ngapi?
 
Hawa jamaa walinichimbiaga mita 45 tu nkapata maji kwenye eneo langu!
Inategemea Sasa na eneo uliyopo wewe

Ova
 
TAWA WATER PROFFESIONAL

Ni kampuni ya uchimbaji wa visima.

Tunachimba visima Mashambani pamoja na kuchimba visima majumbani kwa matumizi binafsi.

Pia tunafanya utafiti wa upatikanaji wa maji ardhini ( Underground Water Survey ) pamoja na ufungaji wa pampu za maji za kawaida na za Solari.

Bei zetu za uchimbaji Kwa Dar es salaam Na pwani ni Tshs 70000/= kwa mita moja. Tutakuwekea Bomba Upvc na pampu.

Bei zetu kwa mikoani ni Tshs 90000/= kwa mita moja. Tutakuwekea Bomba Upvc na Gravel.

Bei zetu za Utafiti wa maji ardhini unategemea na umbali wa saiti ilipo.

Mawasiliano: 0764418248
0625576082.
View attachment 1137159View attachment 1137160View attachment 1137161View attachment 1137162
Shuku..... Vp mmbo
Ngoja nkuvutie uzi
Sahv nlikuwa nakutafuta nilipoteza # yko

Ovw
 
TAWA WATER PROFFESIONAL

Ni kampuni ya uchimbaji wa visima.

Tunachimba visima Mashambani pamoja na kuchimba visima majumbani kwa matumizi binafsi.

Pia tunafanya utafiti wa upatikanaji wa maji ardhini ( Underground Water Survey ) pamoja na ufungaji wa pampu za maji za kawaida na za Solari.

Bei zetu za uchimbaji Kwa Dar es salaam Na pwani ni Tshs 70000/= kwa mita moja. Tutakuwekea Bomba Upvc na pampu.

Bei zetu kwa mikoani ni Tshs 90000/= kwa mita moja. Tutakuwekea Bomba Upvc na Gravel.

Bei zetu za Utafiti wa maji ardhini unategemea na umbali wa saiti ilipo.

Mawasiliano: 0764418248
0625576082.
View attachment 1137159View attachment 1137160View attachment 1137161View attachment 1137162
Hiv huyu jamaa yupo kweli?
 
Back
Top Bottom