Karibu ufanikishe ndoto yako kupitia kilimo

Raelish

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2013
Posts
489
Reaction score
162
Kuna watu wengi wanapenda kulima ila kutokana na majukumu mengi wanashindwa kusimamia, mimi nawasaidia watu wa namna hiyo.. ni hivi unanipa laki 4 kwa ekari moja alafu mi nakupa laki 5 nikishavuna, maana yake ni kwamba hela yoyote utakayonipa wew utapata faida 25%, ukishanipa pesa we unatulia tu kusubiria chako kila kitu nafanya mimi, na ikitokea mafuriko au wadudu kuharibu mazao mimi nitawajibika kukulipa kama tulivyokubaliana.. KARIBU SANA
 

Shamba lako au langu?

Tunaandikiana?
 
Shamba lako au langu?

Tunaandikiana?

kila kitu changu mkuu, tunaandikishana, muhimu sana hiyo tena mbele ya chombo kinachofahamika kisheria
 
wamepatikana wawili mpaka sasa, njoo nawew usiogope..
 
Utapeli wa kihiivyo ulishapitwa na wakati... DECI ya shamba eeeh???
 
utawapata wajinga au ndio chuma ulete mpya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…