:flypig::flypig:
Karibu ufurahi pamoja nasi siku hii muhimu ya ndoa yangu tarehe 23.04.2011.
Nakufuatia na mashamla shamla siku ya pasaka 24.04.2011. :flypig::flypig:
Wona wegana kuhika ni jovila mapema,Ne nani na munu?
Hongera
asante kwa mwaliko
mshirikishe Mungu kwa kila jambo
bila Mungu kuwepo pamoja nanyi yapo mambo mengi
yatakayo sababisha ndoa kugeuka kuwa ndoano
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.