Karibu ujipatie huduma za Massage

Kipindi nipo mdogo,mshua alikuwa analala kwenye mkeka kisha ananiambia nitembee juu ya mgongo wake. sijui hii ni aina gani ya massage? Naomba ufafanuzi mtaalam
 
Hiyo ni body to body massage
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…