kwa kabati la nguo milango miwili ni laki 280,000, kwa kabati la nguo milango mitatu kuna bei mbili kuna la elfu 95,000 na laki 450,000 hili la elfu 95,000 lina enga za kuwekea nguo ,kwa kabati languo milango minne bei yake ni laki 550,000. kabati la vyombo milango miwili bei laki 300,000, kabati la vyombo milango mitatu bei laki 400,000,kwa kabati la jikoni bei laki 600,000 piga simu utaletewa ulipo au njoo dukani kariakoo piga simu namba677423349 #Agleyndanda