Luqman mohamedy JF-Expert Member Joined Jul 24, 2016 Posts 899 Reaction score 1,231 Nov 21, 2023 #1 Bei ni elfu 25 tu kwa koti moja,mawili ni elfu 45. Tunapatikana Makumbusho, Tunafanya delivery kokote ulipo. Material ya kitambaa ni tetron laini inayong'aa, rahisi kufua na kupiga pasi. 0769509430 tukuletee kokote pale leo hii.
Bei ni elfu 25 tu kwa koti moja,mawili ni elfu 45. Tunapatikana Makumbusho, Tunafanya delivery kokote ulipo. Material ya kitambaa ni tetron laini inayong'aa, rahisi kufua na kupiga pasi. 0769509430 tukuletee kokote pale leo hii.
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Nov 21, 2023 #2 Hivi ni kwa nini hao wauza bucha msiwabadilishie makoti ya kuvaa! Yangekuwa ya rangi nyekundu yangewapendeza sana.
Hivi ni kwa nini hao wauza bucha msiwabadilishie makoti ya kuvaa! Yangekuwa ya rangi nyekundu yangewapendeza sana.
Makorokoro Bondeni JF-Expert Member Joined Apr 11, 2023 Posts 1,300 Reaction score 1,969 Nov 21, 2023 #3 Tate Mkuu said: Hivi ni kwa nini hao wauza bucha msiwabadilishie makoti ya kuvaa! Yangekuwa ya rangi nyekundu yangewapendeza sana. Click to expand... Mi naona Mkuu rangi nyekundu ingetisha sana,sababu jamaa wachezea damu na shoka mkononi.
Tate Mkuu said: Hivi ni kwa nini hao wauza bucha msiwabadilishie makoti ya kuvaa! Yangekuwa ya rangi nyekundu yangewapendeza sana. Click to expand... Mi naona Mkuu rangi nyekundu ingetisha sana,sababu jamaa wachezea damu na shoka mkononi.
Supu ya kokoto JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 4,194 Reaction score 7,602 Nov 22, 2023 #4 Vipi scrubs mnazo
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,264 Reaction score 27,132 Nov 22, 2023 #5 vp sisi mafundi mmetusahau
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Nov 22, 2023 #6 Ahsante kwa taarifa...
DeepPond JF-Expert Member Joined Nov 18, 2017 Posts 41,728 Reaction score 103,997 Nov 22, 2023 #7 Hivi Kuna tofaut gan Kat ya ovaroli na ovakoti