Mashine za kupiga dawa zinapatikana. Inafaa kupiga dawa kwenye magugu na kukupiga kwenye miti (mikorosho,miembe n.k) na mazao mbalimbali kuzuia kuvu na wadudu. Na pia kupiga dawa maghalani, maofisini, majumbani.
Inaweza kutumia sulphur ya unga na dawa za maji. Ina ujazo wa lita 20 na inatumia petroli.
Ina vifaa vya kujikinga kama miwani na barakoa.
Bei ni shilingi laki mbili na elfu thelathini(230000/=)
Mkuu nimeshawahi Iona Kwa mkulima na yeye ndo alinishauri nisinunue hii ama kama nikitaka kununua kibishi aniuzie. Alisema kwenye mazao kama vitunguu na mboga za majani ni sawa lkn Kwa mazao kama nyanya haifai.