Karibu ujipatie matairi Kwa bei nafuu kabisa tunauza matairi ya magari makubwa pamoja na magari madogo zifuatazo ni baadhi ya brands ambazo zinapatikana.
1.CENTARA
2.TIMAX
3.SAFERIN
4.RUADLUX
5.DOUBLECOIN
6.VALIANT
7.TRANSTONE
Hizo ni baadhi ya brands ambazo zinapatikana pia brands nyingine zipo karibuni wote.
Dar es salaam tunafanya delivery pia mikoani tunatuma Kwa uaminifu mkubwa mzigo upo store wakutosha karibu tukuhudumie .
Location Vingunguti karibu na sido, Dar es salaam, Tanzania