Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nataka kitochi ila niko Dar
Umtumie kwa Ally's ila watakata 10% ya bei ya simu.Mimi niko mwanza, Sasa sijui tufanye vipi hapo.
Umtumie kwa Ally's ila watakata 10% ya bei ya simu.
Kwa hiyo wakikuuliza thamani ya simu waambie ni yako umeitumiatumia ila thamani yake kwa ilipofikia ni 50,000.
Kimbembe kinakuja ikipotea wanakupa 50,000 yako ili kufidia hasara.
Hapo ndo shida, maana kutaja bei ya kweli ni kama kuweka bimaKimbembe kinakuja ikipotea wanakupa 50,000 yako ili kufidia hasara.
Ila ni ukwepaji wa gharama ambao una risk kubwa. Akitokea mfanyakazi asiye mwaminifu anaficha simu halafu atalipa bei uliyotaja wewe mwenyewe.Hapo ndo shida, maana kutaja bei ya kweli ni kama kuweka bima
Specification ya Oppo A83Karibuni sana wateja wa Mwanza