Karibu ukutane nasi chinawordlbuz

Karibu ukutane nasi chinawordlbuz

jluvanda

Member
Joined
Jan 15, 2013
Posts
66
Reaction score
5
Habari ya Kwako ndugu mtanzania! Tunakukarisisha kwenye ofisi yetu ya Chinaworldbuz Company Limited, karibu ni gorofa ya 10, jengo la Ushirika Tower, barabara ya Lumumba, Mnazi mmoja Dar es salaam.
Kwa mawasiliano zaidi karibu wasiliana na team ya CWB,Peter Mwasunga, 0653978496, Regina Mpunga 0655908497.
Karibu tuongee biashara.
 
Naomba mjitangaze vizuri bwana. Hamsemi mnafanya nini. Kwa nini nifunge safari mpaka hapo kwenu wakati sijui ninachokifuata?
 
Ndugu wapendwa kampuni ya Chinaworldbuz Company Limited (CWB) iliyosajiliwa chini ya sheria za serikali ya Jamhuri ya watu wa China na pia chini ya sheria za serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania,ni kampuni yenye viwanda na inafanya kazi ikisaidiana na viwanda vinavyotengeneza bidhaa mbali mbali nchini China. Bidhaa hizo ni kama zifuatazo, vifaa vya ujenzi kama marumaru,masinki,mabomba na vingine vingi, vifaa vya umeme,vifaa vya magari, vifaa vya electronics kama simu,tablets na accessories zote, vitu vya sebuleni, jikoni,n.k, vifaa vya maofisini pia nguo kwa jinsia zote , mabegi ya aina zote kwa matumizi mbalimbali. Kwa ufupi unaweza jipatia mahitaji yako yote kupitia kampuni ya CWB. KAZI YETU NI KUSAIDIA WAFANYABIASHARA WA TANZANIA KUPATA BIDHAA MBALI MBALI MOJA KWA MOJA KUTOKA VIWANDANI KUPITIA SISI, na sio kutoka katika masoko ambayo yamekua hayaaminiki ambapo wafanyabiashara hupata bidhaa feki. Kumekua na malalamiko mengi ya wafanyabiashara kwamba wamekua wakipata bidhaa feki wanunuapo bidhaa hizo katika masoko ya China katika miji ya Guangzhou na Yiwu, hii ni kwasababu kumekua hakuna daraja zuri la kibiashara kati ya wafanyabiashara na viwanda hivyo. Kampuni ya CWB imebeba ujumbe wa viwanda nchini China kua bidhaa bora na za bei nafuu zinapatikana nchini China kupitia kampuni ya CWB. Mfanyabishara hata itajika kuja China,kununua bidhaa kwa ajili ya biashara yake, atahitajika kufika katika ofisi za chinaworldbuz pale 10th floor ushirika tower, barabara ya Lumumba kuongea na team ya CWB, kuweka oda ya mahitaji ayatakayo, pia atashauriwa na kupewa maelezo ya kina ya bidhaa mbali mbali zinazoweza kua bora kuliko mahitaji yake. Hii ni kwasababu team ya CWB ina wataalamu waliobobea katika suala hili la biashara ndani ya China, mteja wa CWB atalipia kiwango ambacho kitakua kimeafikiwa kati yake na ofisi ya CWB na atahitajika kusubiria mzigo wake, taratibu zote za bandarini na mamlaka ya mapato Tanzania zitakua chini ya CWB mpaka pale mteja atakapota mzigo wake.Hayo ni maelezo ya haraka na ufupi ya kampuni ya CWB, kwa mawasiliano wasiliana nasi kupitia simu au whatsapp +8613524159707, kwa China justineluvanda@chinaworldbuz.c om au shafiihamisi@chinaworldbuz.com, Pia tunakukaribisha kutembelea website yetu ya CWB New Attempts, New Possibilities
Peter Mwasunga, 0653978496, Regina Mpunga 0655908497.
KARIBU SANA. New attempts, new possibilities!
 
Asante sana jluvanda mara ya kwanza niliwasikia kwenye taarifa ya habari star tv mkiwa kwenye semina Arusha nikajaribu kuwacheki kwenye website yenu lakin sikupata information za kutosha.

Mpaka mzigo ufike inachukua muda gani? Na bei ya malighaf itakuwa included na shipping cost? Umesema mtashughulikia hadi bandarin je cost itakuwa kwa mteja au? Na kuanzia order ya ukubwa gani ndo mnaaccept? Na ikiwa nimepata malighafi ambayo si nzuri mtanisaidiaje? Na mwisho ninyi mnafaidika vipi au kuna kiasi natakiwa kuwalipa?
 
Last edited by a moderator:
mkuu jluvanda njoo ujibu maswali ya mteja hapo juu!
 
Hata aya tu?

Kama marketing department inaongozwa na wewe, basi kazi ipo.

Ndugu wapendwa kampuni ya Chinaworldbuz Company Limited (CWB) iliyosajiliwa chini ya sheria za serikali ya Jamhuri ya watu wa China na pia chini ya sheria za serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania,ni kampuni yenye viwanda na inafanya kazi ikisaidiana na viwanda vinavyotengeneza bidhaa mbali mbali nchini China. Bidhaa hizo ni kama zifuatazo, vifaa vya ujenzi kama marumaru,masinki,mabomba na vingine vingi, vifaa vya umeme,vifaa vya magari, vifaa vya electronics kama simu,tablets na accessories zote, vitu vya sebuleni, jikoni,n.k, vifaa vya maofisini pia nguo kwa jinsia zote , mabegi ya aina zote kwa matumizi mbalimbali. Kwa ufupi unaweza jipatia mahitaji yako yote kupitia kampuni ya CWB. KAZI YETU NI KUSAIDIA WAFANYABIASHARA WA TANZANIA KUPATA BIDHAA MBALI MBALI MOJA KWA MOJA KUTOKA VIWANDANI KUPITIA SISI, na sio kutoka katika masoko ambayo yamekua hayaaminiki ambapo wafanyabiashara hupata bidhaa feki. Kumekua na malalamiko mengi ya wafanyabiashara kwamba wamekua wakipata bidhaa feki wanunuapo bidhaa hizo katika masoko ya China katika miji ya Guangzhou na Yiwu, hii ni kwasababu kumekua hakuna daraja zuri la kibiashara kati ya wafanyabiashara na viwanda hivyo. Kampuni ya CWB imebeba ujumbe wa viwanda nchini China kua bidhaa bora na za bei nafuu zinapatikana nchini China kupitia kampuni ya CWB. Mfanyabishara hata itajika kuja China,kununua bidhaa kwa ajili ya biashara yake, atahitajika kufika katika ofisi za chinaworldbuz pale 10th floor ushirika tower, barabara ya Lumumba kuongea na team ya CWB, kuweka oda ya mahitaji ayatakayo, pia atashauriwa na kupewa maelezo ya kina ya bidhaa mbali mbali zinazoweza kua bora kuliko mahitaji yake. Hii ni kwasababu team ya CWB ina wataalamu waliobobea katika suala hili la biashara ndani ya China, mteja wa CWB atalipia kiwango ambacho kitakua kimeafikiwa kati yake na ofisi ya CWB na atahitajika kusubiria mzigo wake, taratibu zote za bandarini na mamlaka ya mapato Tanzania zitakua chini ya CWB mpaka pale mteja atakapota mzigo wake.Hayo ni maelezo ya haraka na ufupi ya kampuni ya CWB, kwa mawasiliano wasiliana nasi kupitia simu au whatsapp +8613524159707, kwa China justineluvanda@chinaworldbuz.c om au shafiihamisi@chinaworldbuz.com, Pia tunakukaribisha kutembelea website yetu ya CWB New Attempts, New Possibilities
Peter Mwasunga, 0653978496, Regina Mpunga 0655908497.
KARIBU SANA. New attempts, new possibilities!
 
Asante sana Ndugu Everlenk kwanza kabis napenda kuomba msamaa kwamba kuna wakati ninakua nashindwa kuaccess account yangu ya jamii forum sawa sawa tu na ya facebook kwasababu huku China hizi social networks zinakuwa na usumbufu kufungua mpaka nitumie VPN, nitajitahidi sana niwe karibu. Nipo online whatsapp na wechat kwa number +8613524159707.

Naomba nikujibu kama ifatavyo, kwanza kabisa mzigo unatumia siku kati ya 35-40 mpaka umemfika mteja kabisa. Haitazidi zaidi ya hapo.
Katika suala la kuagiza mzigo sisi tutukutumia Quotation ya vitu unavyohitaji ikijumuishwa kabisa kiasi cha usafiri pamoja na clearance fee, tukikaa katika misingi kuwa tunataka fanya kazi zote na mteja awe mtu wa mwisho kupokea mzigo tu.
Jambo jingine idadi inategemeana ni nini unaagiza mtu anaeagiza mifuko ya kufanyia packaging hawezi fanana na mtu anaeagiza machine kama lathe machine. Kwahiyo quantity( wingi) inategemeana na nini mtu anaagiza.
Chinaworldbuz inaamini katika QIT( quantity, insuarance, fast transportation) tunaamini katika ubora wa bidhaa zetu na hatuna shida katika kila bidhaa itakayokuja kwa chini ya chinaworldbuz. Tunaamini kuwa bidhaa utakazo polea zitakuwa ni bidhaa bora na endapo utakuwa hatujakidhi haja yako utarudisha hiyo bidhaa na tutakupatia bidhaa nyingine. Bidhaa zote za chinawprldbuz company zina insuarance( bima) ni wakati wa kufanya biashara kiuhakika. Mwisho kabisa ninapenda kusema kuwa Chinaworldbuz company company tunafanya kazi na viwanda na sisi tunapata commission fee ( asante kwa kututambulisha mteja) kutoka kwa viwanda tulivyowapelekea mteja. Sisi sio maagent sisi tunafanya kazi na viwanda moja kwa moja. Kwa maelezo zaidi fika ofisini kwetu Tanzania uweze kujua mengi kuhusu kampuni yetu ya chinaworldbuz company. Asante sana
 
Samahani ndugu kongosho kidogo huku mitandao ya kijamii ya nchi nyingine hua inasumbua kiasi chake ninauhakika unafahamu kwamba hata facebook ,na youtube zilifungiwa nchini China. Ni matumaini yangu umenielewa lakin sasa hivi tunatumia VPN nzuri zaidi nimatumaini yangu tutakuwa pamoja! Asante
 
Back
Top Bottom