House4Rent Karibu upate nyumba ya kupanga Mwanza

Bado mnatafuta NYUMBA/PLOT MWANZA?

  • 1.Ndio

    Votes: 5 83.3%
  • 2.Hapana

    Votes: 1 16.7%
  • 3.Sijui

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    6
  • Poll closed .
Fremu mjini kati
Chumba store
Zipo sehemu nzuri
Zimetazama barabara
Bei mil 3.6
0762-241001whatsup

NB
Fremu zinaazia elfu 40 mwezi nk zipo kila Mahari karibuni sana
 
Karuta Street mjn kati
Fremu
Kinatazamana na barabara
Chumba kikubwa sana
Unaweza kukigawa Mara 2
Kinafaa kwa Biashara yoyote
Mil 3.5
0767-241001whatsup

 
Nyakato
Vyumba viwili
Master kimoja
Public toilet
Jiko
Makabati ya ukutani
Fensi
Bei mil1.8 miezi 6
Inajitegemea kila kitu
Anapokea miezi 3
Dakika 1 kufika kwenye RAMI
0767-241001whatsup
NB
Tunazo nyumba za kupanga/fremu na viwanja mji mzima Wa mwanza Karibuni sana bei tofautitofauti
 
Pia kama MTU anataka eneo la wazi mjini kati kwa ajili ya biashara yake ndogondogo mfn Makoroboi,sokoni,dampo,lango nk. labda anakamtaji kake laki 1+ lkn ajui atapataje eneo njoo tutakusaidia, ww andaa pesa ya kitambulisho cha MMACHINGA TU
Karibuni sana 0767-241001 whatsup
 
Nyegezi
Njia ya kwenda SAUT
Eneo 20*40
Dakika 2 kufika kwenye Rami
Umeme/maji vpo hapohapo
Upande Wa pili Wa barabara n eneo LA Jeshi
Bei mil 9
Document zote zipo
0767-241001whatsup
 
Mecco
Vyumba 3
Master 1
Living RM
Dinning RM
Jiko/store
Public toilet
Fensi
Maji/umeme 24/7 inajitegemea
Dakika 2 toka kwenye RAMI
Bei mil3.5
Miezi 6 √√
0767-241001whatsup

NB
Tunazo Nyumba za KUPANGA/FREMU kila mahari kuanzia elfu 40 nk kwa mwezi karibu tukuhudumie
 
Libeti
Fremu mpya
Bei mil 6
Kinatazamana na barabara
Karibu na Rift valley pub
0767-241001whatsup
NB
Vyumba Vya Biashara mjini havitulii kwa sababu soko kuu linavunjwa hivi karibuni,karibuni sana

Tunavyo vyumba Vya kila bei kuanzia mjini kati hadi pembozoni mwa mji (kuanzia elfu 40 kwa mwenzi nk.)
 
Buhongwa
vyumba 3
Dinning rm
Living RM
Jiko&store
Uwanja mkubwa
Document zote zipo
Mil 15
0767-241001whatsup
NB
Nyumumba nzr unahamia hivyohivyo kama umechoshwa na nyumba za kupanga
 
Safisha macho tu hapa!!!!
(No Mgeni)
Hiyo nyumba haipangishwi wala hatuuzi!!!
NB
Wafanyabiashara mjini soko kuu linavunjwa mwezi ujao njoo ninazo FREMU nyingi sana za barabarani na nyingine zipo nyuma ya barabara kuanzia mil 2kwa mwaka hadi mil 15 karibuni sana 0767-241001whatsup
 
Buswelu
Vyumba 2
Sebule
Eneo limepimwa
Km 2 kutoka ofc za halimashauri
Dakika 2 kufika barabarani kuu
Bei mil 10 tu
Unalipia na kuhamia hapohapo
0767-241001whatsup
NB
Nyumba za kununua zipo nyingi sana kila mahari na kila bei karibuni sana
 
Nyaisaka
Karibu na Bundasiliga
Kiwanja cha barabarani
Eneo 35*50
Eneo Lina HATI
Bei mil 220
Eneo hili unaweza kujenga Sheri,shoppers plaza,lodge,hekaru la kuishi nk
Karibuni muwekezi Mwanza
0767-241001 whatsup
NB
Tunavyo viwanja kila mahari bei kuanzia mil 2 nk. baadhi ya viwanja vina msingi kabisa karibuni sana
 
Kiseke
Vyumba vi4
Self contained vyote
Living room
Dinning room
Pave block
Kribu na barabara mpya ya RAMI
Bei mil 80
Nyumba kari ya kisasa
0767-241001 Whatsup
NB
Leo tunanyumba za kununua kuanzia mil 10 karibuni sana
 
Busweru
Chumba master
Sebure
Jiko
Bei mil 1.8kwa mwaka
Miezi 6√√√√
Karibu na barabara
0767-241001karibuni sana
NB
Vipo vyumba na sebure hadi
vya elf 60 kwa mwezi
karibuni sana wapendwa
 
Buzuruga
Vyumba viwili
Vyote master
Jiko
Sebure
Maji/umeme inajitegemea
Fensi
Dakika 2 toka kwenye RAMI
Mil 3 kwa mwaka
Miezi 6√√√
0767-241001whatsup/telegrm
karibuni sanaView attachment 1150717
 
Buzuruga
Apartment
Vyumba viwili
Vyote master
Dinning RM
Sitting RM
Public toilet
Jiko/store
Nyumba inavitu vyote vya ndani
Unahamia na begi tu
Maji ya moto/baridi
Jiko gesoven
Bei mil 9 kwa mwaka
Sifa hizohizo
Haina vitu Vya ndani
Bei mil 6 kwa mwaka
Anopokea miezi 6
0767-241001whatsup/telegram
NB
Tunazo nyumba za kila bei kila mahari
Karibuni sana
 
Maduka 9
Apartment
Vyumba2
Master rm1
Sitting rm
Dinning rm
Public toilet
Jiko/store
Bei mil3 Kwa mwaka
Miezi 6 anapokea
0767241001whatsup/telegram
 
Nyakato
Vyumba3
Living rm
Dinning rm
Master rm1
Jiko/store
Pave block
Fensi
Bei MIL 3@mwaka
Miezi 6 anapokea
Karibuni as a
0767241001whatsup/teregram
NB
Nyumba ZA kupanga zipo kila Mahali Karibuni sana
 
Busweru
Vyumba2
Chumba 1master
Living room
Jiko
Maji/umeme unajitegemea
Bei MIL 1.6kwa mwaka
Miezi 6 anapokea
0767241001whatsup
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…