House4Rent Karibu upate nyumba ya kupanga Mwanza

Bado mnatafuta NYUMBA/PLOT MWANZA?

  • 1.Ndio

    Votes: 5 83.3%
  • 2.Hapana

    Votes: 1 16.7%
  • 3.Sijui

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    6
  • Poll closed .
Frem mjin ambapo naweza nikauza spear za magari
 
Maduka 9
Dakika 2kutoka kwenye Rami
Njia ya kwenda kwa Malisa church
Vyumba viwili vya kisasa
Self vyote
Store,jiko,
Maji$umeme inajitegemea 24/7
Parking ya basi 6za mikoani
Fensi kubwa
Bei mil 3kwa mwaka
Miezi 6 anapokea
0767241001/0620690670
 
Zipo nyumba za kila bei kuanzia za chini hadi magorofa,fremu za mtaani hadi mjini kati,viwanja vya milion 1.5 nk, kila mtu atapewa kulingana na uwezo wake karibuni
 
Ya kwanza Nyamuhongoro
Ya pili Buhongwa
Zote
Vyumba 3
Self contained rm 1
Dining room
Sitting room
Jiko/store/public toilet
Fenced&pave block park
Bei mil 4 kwa mwaka
Miezi6♡♡
0767241001/0620690670
NB
Nyumba za kupanga au fremu za biashara au viwanja tunavyo vingi sana
 
Leo nataka niseme wateja BORA KABISA ¡¡¡¡¡¡¡
1.PLz(CBzes CRM MTAndaoni)
Hawa jmn kila siku nawapangamgisha wakikaa baada ya mwz wanasema nimeamishwa kikazi mtafutie mpangaji analudishie pesa yangu (FILE WAMEANGALIA KWA DARUBINI WAMEGUNDUA HAKUNA VIRUSI)
2.mhkmn hawa wanakuja jumla jumla wenyewe wanaamn hawadhulumiki
3.wanawake sjui kwasababu wanatumia sana hii mitandao ya kijamii
4.wafanyabiashara
5.Raia waliopo nje ya nchi
6.wanazengo na wafanyakazi
7.raiwa wa kawaida kabisa hao ndio wengi
NB
Nilichojifunza kwa watu wote n kusema ukweli tu
MUNGU AWABARIKI SASA




NB
Nilicho jifunza kuhusu wateja wanataka wema tu akigundua ajafanya zambi yoyote anamuambia mwenzie WKT MWINGINE NAWADADISI LKN MAJIBU YANANISHANGAZA SANA !!! NILIMSADIA MTU MWINGINE KABISA TENA IMEPITA MUDA HATA JF ATUMUI¿¡¡¡
 
Nyakato
Vyumba 3
Dinning rm
Sitting rm
Jiko $ store
Self contained 1
Ndani ya fensi
Miezi 6 anapokea
Dakika 3 kutoka kwenye Rami
Bei mil 3.5 kwa mwaka
0767241001/06206990670
 
PPF HOUSE KISEKE
Vyumba 2
Self contained 2
Public toilet
Inatazamana na RAMI
0767241001/0620690670
 
NB
Single rm, self contained rm,Nyumba nzima,fremu za biashara ,Viwanja, vipo kila mahali kuanzia Usagara hadi Kiseke,kuanzia Igombe hadi Kisesa. TUAMBIE UNATAKA WP sisi tutakukabidhi kulingana na mahitaji YAKO, JMN TUJE TUMEJIANDAA VITU vipo vingi sana
 
Buhongwa
Re-advertisment
Nyumba ipo Buhongwa
Dakika mbili kutoka kwenye RAMI
Dakika 5 kufika Buhongwa stend
Vyumba 3
Self contained 2
Public toilet
Living rm
Dinning rm
Fensi kubwa
Maji$umeme vipo
Bei mil 3.5 kwa mwaka
Miezi 6anapokea
Nyumba ndogo ya kupaki gari
Nyumba ndogo pia kukaa wafanyakazi
Inauzwa pia inapangishwa atakae wahi kati ya hawa watu wawili
0767241001/0620690670

View attachment 1197456
 
Buhongwa
Chumba sebure
Jiko$store
Umeme$ maji 24/7
Bei mil 1.8
Kipo sehemu nzr sana
Anapokea kodi ya mwaka
0767241001/0620690670
 
Bei ya nyumba za kupanga zinaanzia
ELFU 40 HADI MIL 10
Viwanja vpo vya mil 1.5 nk
Nyumba za kununua zipo za mil 15 Nk
PIGA simu 0767241001/0620690670 kwa mahitaji yako
 
Nyaisaka
Gorofa la kisasa
Juu vyumba viwili
Chini vyumba viwili
Jiko$store
Self contained vyumba vyote
Maji ya moto na baridi wkt wote
Parking kubwa
Bei ya juu mil 6
Bei ya Chini mil 6
Kwa mwaka
Anapokea miezi 6
0767241001
 
Vyumba vya elfu 15,20,25,30 Vimejaa sana maeneo Mengi ya Mwanza, kuanzia Igoma, National, Nyambiti, Nyasaka, sasa sijui wewe dalali unavyosema vyumba vinaanzia 40,000 unaishi Mwanza ipi, Madalali mnashida sana yakupandisha bei ya Vyumba bora umwambie Mpangaji Akukatie kiwango flani kuliko kumpandisha bei abebe huo mzigo mwaka mzima kisa tamaa ya kodi ya mwezi mmoja.
 
N SWALA LA UELEWA TU!!!
Ni kweli kabisa VIPO KILA MAHALI MKUU,lkn sipangishi vyumba vya chini ya hiyo elfu 40 zipo sababu nyingi sana
1.nyumba hizo nyingi hazina umeme
2.zipo milimani
3.nyumba za udongo
4.Uswahilini sana
5.Aina ya wapangaji wa hizo nyumba pia wanachangamoto kubwa sana na mm nakwepa pia kufanya kazi na watu wa AINA HIYO MKUU
NB
Kwa hiyo unatakiwa kujua mkuu n kama kwenda mjini kwa daladala,wkt mwezako anaenda kwa Bajaji,mwingine anatumia pikipiki nk
Wkt mwingine mtu anajiwekea mipaka ya kazi zake
 
Mwisho kabisa amani itawale ktk maisha yako mkuu, na usiwe mtu wa kutazama mambo kwa njia HASI SANA MKUU
 

👣👣👣 Let me walkout
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…