House4Rent Karibu upate nyumba ya kupanga Mwanza

Bado mnatafuta NYUMBA/PLOT MWANZA?

  • 1.Ndio

    Votes: 5 83.3%
  • 2.Hapana

    Votes: 1 16.7%
  • 3.Sijui

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    6
  • Poll closed .
Vipi kuhusu hela ya kiwanja mfano 2M wewe unapata hela kiasi gani? kwenye nyumba umesema hela ya mwezi mmoja Je kwenye kiwanja inakuwaje?
 
Buhongwa_Bugugu
Vyumba vitatu
Dinning rm
Living room
Self contained 1
Public toilet
Jiko & store
Umeme maji 24/7
Pamepimwa na kunabikon
Ndani & nje finishing imekamilika
Hakuna Fensi
Bei n mil 35
Usisahau kubeba mwanasheria pamoja na mtu wa ardhi kujilizisha kabla ya kulipia asante karibuni sana
0767241001/0620690670

NB
Nyumba za kupanga tunazo za kila aina piga cmu tuambie unataka nyumba yenye sifa gani na wapi usisahau kusema bajeti yako NYUMBA ZILIZOPO KUANZIA 40 ELFU HADI 12 MIL!!!
 
Usagara
Nyumba inauzwa mil 26
Hakuna umeme
Maji ya kununua
Vyumba 3
Dinning rm 1
Sitting room 1
Self contained 1
Public toilet ipo NJE
0767241001/0620690670
NB
NYUMBA ZA KUPANGA ZIPO KILA MAHALI, ZENYE KILA SIFA NA ZA KILA BEI KUANZIA 40 ELFU HADI MIL 12 KARIBUNI SANA
 
Kitangili center
Kiwanja
Sqm 650+
Bei mil 5.5
N vizuri ukachukua mtu wa ardhi akuchekie hicho kiwanja kwenye MARAMANI YAO kabla ya kulipia
0767241001/0620690670
KARIBUNI SANA
NB
YOYOTE ATAKAYELIPIA FREMU,NYUMBA AU KIWANJA ATAFUTIWA GHARAMA YA KUMPELEKA/KUONA
 
Mkuyuni Miembe saba
Chumba
sebure
Jiko
Public toilet ndani
Fensi
Bei lk 1.5 kwa mwezi
Anataka kodi ya miezi sita
0767241001/0620690670
Karibuni sana
NB
Nyumba za kupanga KWETU SIO TATIZO ZIPO NYINGI SANA KILA MAHALI MWANZA eleza sifa ya nyumba unayotaka na bajeti yako
 
Buhongwa
Opposit na shule ya msingi Buhongwa
Vyumba viwili
Dinning rm
Jiko
Inajitegemea kila kitu
Ndani ya fensi wapangaji wapo 2 tu
Bei n Mil 1.8 kwa mwaka
Anapokea miezi 6
0767241001/0620690670
MUNGU AWABARIKI KARIBUNI SANA
NB
Tuambie unataka wapi nyumba, bajeti yako sisi tutakupatia kulingana na Bajeti yako UKILIPIA TUTAFUTA GHARAMA ZA KUKUPELEKA NDUGU YETU
View attachment 1201670
 
Mabatini- Miembe Giza
Haka kanyumba HAKAPANGISHWI
mwenye nayo anatafuta mtu wakujitolea kukaa msimu huu wa masika ikiisha ataludi
 
Lumala
Vyumba vitatu
Self 2
Dining rm
Living room
Public toilet
Jiko
Store
Maji&umeme 24/7
Hii n Nyumba inajitegemea kila kitu
Bei n mil 2.8 kwa mwaka
Anachukua mie 6
0767241001/0620690670
Karibun sana
Tunazo nyumba za watu wote except 《40
NB
Usihangaike na mwenye Nyumba Msumbufu wkt pesa n yako kwanini USIHAME UKAKAE sehemu nzuri ambazo Wamiliki wa hizo nyumba kwanza hawaishi eneo usika lkn pia sio watu wakudai kodi wkt iliopo imebakisha miezi mitatu
 
Buhongwa
Vyumba 3
Self contained 1
Public toilet ndani
Dinning rm
Living rm
Jiko/store
#HAKUNA#FENSI#
BEI Mil 2.5 kwa mwaka
Anapokea kodi ya miezi 6
0767241001/0620690670
NB
Karibuni tunazo nyumba kila mahali taja mahitaji yako na bajeti yako tutakupa nyumba unayotaka kulingana na uwezo wako

 

Attachments

  • FB_IMG_1567998677331.jpeg
    54.3 KB · Views: 13
Maduka 9
Nyumba nzima
Vyumba 3
Dinning rm
Sitting rm
Jiko&store
Ndani ya fensi
Bei Mil 3.5 kwa mwaka
Anapokea kodi ya miezi 6
0767241001/0620690670
Karibuni sana
NB
Nyumba za kupanga zipo kila mahali karibuni sana bei hazifanani
 

Attachments

  • FB_IMG_1568000113419.jpeg
    32 KB · Views: 15
  • FB_IMG_1568000113419.jpeg
    32 KB · Views: 19
  • FB_IMG_1568000113419.jpeg
    32 KB · Views: 17
Jmn nyumba ninazo kila Kona msisahau kusema bajeti zenu,, KILA MTU ATAPEWA NYUMBA KULINGANA NA UWEZO WAKE
 
Kiloleli
Vyumba 2
Jiko
Sebure&dinning
Unajitegemea kila kitu
Ndani ya fensi
Nyumba zipo 3
Dakika 2 toka kwenye RAMI kwa kutembea
Eneo kubwa la kupaki Gari
Bei mil 2.5 kwa mwaka
0767241001
 
Kaka Nyumba ya room 2 Nyegezi, mkolani, maduka tisa.. Bajeti 1.8 M
 
Nyamuhongoro upande St.Marrys
Vyumba vitatu
Nyumba inajitegemea
Kila kitu
Self 2
Sitting room, dinning room
Kwa nyuma kunakanyumba kadogo kakulala mvulana wa shamba
Bei n mil 3.5
Ukiwa getini Rami unaiona
0767241001
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…