nyumbanzuribeinzuri
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 2,144
- 276
- Thread starter
-
- #481
Njoo what's up na picha zake kkHebu tuyajenge. Mie nina nyumba zangu ziko 4 natafuta wapangaji. ni mpya kabisa zinajitegemea japo zipo kwenye fensi moja. Kila moja na vyumba 3 vya kulala, dinning, sitting, stoo na vyoo. Ziko Kiseke PPF pale kuna kituo cha daladala wanaita Kona ya Buyombe. Ni karibu na baa au tuseme shamba la Kipipa. Bati zake ni rangi ya damu ya mzee. Ni mpya kabisa, ndio natafuta wapangaji.
Sina ndugu yangu ya Bei hiyoNitumie picha ya chumba na sebule ulichonacho maeneo ya kangae, mecco au buzuruga au maeneo ya mkuyuni, kiwe na tires, dirisha alluminium,whatsapp namba ni +254708414337 bei isiyozidi hamsini elfu za kiTanzania
Bukoba boy, sijajua kwa kweli asanteHivi mradi wa east buswelu viwanja unaendeleake kwa sasa?