House4Rent Karibu upate nyumba ya kupanga Mwanza

Bado mnatafuta NYUMBA/PLOT MWANZA?

  • 1.Ndio

    Votes: 5 83.3%
  • 2.Hapana

    Votes: 1 16.7%
  • 3.Sijui

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    6
  • Poll closed .
Kiwanja kixuri cha KUJIPA FURAHA!!!@
0767241001call/whatsup

NB
Tunazo NYUMBA bei KUANZIA elf 40 nk
Kila sehemu Mwanza, njoo tukuonyesha NYUMBA BURE BILA KUTOA PESA YA SUVEY lkn kama unakodi ya WATU mkononi kama UTALIPA kesho au jioni UTALIPA ten yetu ukileta KODI ya WATU
TUTAKULUDISHIA/utakata ktk KODI yetu ya mwezi mmoja ten yako
Pia bajeti zenu n vizuri mkaweka wazi kwa sababuzifutazo
1. Kuna Self ya elf 50 kwa mwezi pia IPO nyingine mil 2 kwa mwaka mfn self za kayonza Ghana
2.Inaokoa muda sana, ukikaa kimya utaonyeshwa NYUMBA ambayo hii ndio nilikuwa naitaka sasa bei yake siiwezi na utaaza kutumbia nataka NYUMBA ya bei furani wkt tumisha poteza muda tayali


Sent using Jamii Forums mobile app
1
 
Nyegezi stedi
Eneo nzuri sana
Viwanja viwili vimeunganishwa
Unaweza kujenga chochote MF lodge nk
Kuna HATI KABISA
Eneo n SQM 1670
BEI MIL 420
MAZUNGUMZO YAPO
KARIBUNI MUWEKEZE KWA FAIDA YA VIZAZI VYENU
0767241001 call/whatsup

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ISAMILO APARTMENT
VYUMBA 2
Self vyote
Sitting room
Inafenicha zote za ndani + TV
BEI Mil 1.5 kwa mwenzi
Ndani ya fenai moja kuna NYUMBA 3
Miezi 6 anapokea
0767241001
NB
WAGENI WOTE MNAOKUJA NA FAMILIA ZENU + WATOTO NINAZO NYUMBA ZENU ISAMILO, CAPRI POINT & BWIRU zenye sifa tofauti tofauti MTALIPIA KULINGANA NA SIKU MTAKAZOISHI
KARIBUNI SANA MWANZA



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna NYUMBA MBILI
1 IPO NYEGEZI VYUMBA VIWILI
SELF 1+ SITTING ROOM
SLIDE WINDOW
TILES CHINI
ENEO SQM 600
PAMEPIMWA
DAKIKA TANO TOKA KWENYE RAMI
BEI MIL 16
YAPILI IPO MACHINJIONI
VYUMBA VITATU
Eneo n SQM 580
PAMEPIMWA
BADO FINISHING NDOGONDOGO
ZOTE ZINA UMEME NA MAJI
BEI MIL 16(Mazungumzo yapo)
Nunua NA kuhamia hapohapo
0767241001 call
Karibuni sana


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Isamilo
Floor ya mwisho
Vyumba vinne
Self moja
Sebure kubwa&jiko
Sehemu ya kufulia nguo
Uwanja Wa mpira mkubwa juu
Sehemu ya kupungia upepo
Unaona lk Victoria vzr sana
Maji umeme vinajitegemea
Makabati old fashion
Ktk hili gorofa kunanyumba za familia3
Floor ya upande mmoja anahishi muhindi anamiliki hiace 10+
Bei mil 4.5 kwa mwaka
Miezi 6 anakubali


Pia kuna
Floor ya chini
Kuna vyumba vitatu
Kimoj self
Jiko&Sebure
Sitting room kubwa
Nyumba IPO jirani sana na kwa Dr Asha Rose Migiro
Pia kuna eneo LA ufugaji/kilimo unapewa bure
Bei mil 3.8
NB 1
Wateja wangu waarabu + wahindi+wabongo ndio NYUMBA yenu hii
Mwenyewe n Mkuu wawilaya mstafu yupo DSM

NB2
WENYE FAMILIA NJOONI NIWAPE NYUMBA ZENYE KILA KITU NDANI HADI BAKURI LA MBOGA AU SAHANI YA CHAKURA NA FRIJI MSILAZE WATOTO LODGE AU HOTEL WKT UNAJUA KABISA UTAKAA SIKU ZA KUTOSHA MWZA MNAWANYIMA UHURU WAKUCHEZA UTALIPA KWA SIKU ATAKAZO HISHI.


0767241001
PLZ

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • IMG_20191213_125010.jpeg
    21.8 KB · Views: 4
Valigandu Island Hotel & SPA
Sehemu zakujipa FURAHA maisha mafupi
NB
Je unahitaji gari ya kutembelea kwa kipindi utakacho kuwa likizo au semina hapa Mjini??
Njoo tukupe AINA YOYOTE YA GARI NA DEREVA WAKE AU BILA DEREVA WAKATI HUU WA MAPUMZIKO YA MWISHO WA MWAKA
USISAHAU KUTULUDISHIA GARI LETU LIKIZO IKIISHA
0767241001 CALL

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnyonyaji BANDO WANGU WA MWAKA 2019 INSTAGRAM HUYU JAMAA.
N M SOUTH AFRIKA ANAFANYA KAZI AMBAZO MTU WA KAWAIDA HUWEZI KUFANYA KABISA nendeni kwenye page yake mtabaki vinywa wazi

NB
Nyumba za kupanga zipo kila mahari bei kuanzia elfu 40 nk
0767241001call/whasup

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lwegazala airport road
Vyumba vinne
Self vyote
Dinning&sitting room
Store
Servant quarter pembeni
Vyumba viwili na sitting RM yake
Mil 7 kwa mwaka
Miezi √√π
0767241001 tupigie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lumala
Vyumba vitaatu
Self 1
Sitting & dinning room
Jiko&public toilet
Parking kubwa
Bei mil 5 kwa mwaka
0767241001
NB
KWA VIDEO TEMBELEA ISTAGRAMU YANGU
@dalalnyumbanzuribeinzurimwanza
NB
Tunazo nyumba za kila bei kuanzia elf 40 nk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…