nyumbanzuribeinzuri
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 2,144
- 276
- Thread starter
-
- #661
Asante Kwa ushauri mzuri sana NYUMBA za elf 40 n zakawaida sana trh 1/1/2020 ntawaazishia Uzi wao na acc yao Instagram asanteNdugu kaushauri kadogo uwe unaweka na hizo za kuanzia 40 elfu, au anzisha na uzi mwingine wa nyumba za bei nafuu zaidi ili uwapate wateja wa vipato vyote [emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app