MAMBO MUHIMU SANA YA KUZINGATIA WKT UNATAKA KUNUNUA NYUMBA AU KIWANJA TAFADHARI
i.N vzr sana kununua Viwanja ambavyo
vimepimwa
ii.Kabla yakufanya malipo n vzr ukamleta afisa Ardhi wako acheki eneo vzr(kuna watu wanang'oa BIKONI ZA WATU WENGINE WANABANDIKA KWENYE VIWANJA VYAO WANASEMA KIMEPIMWA)/kama huna nitakupa Wa kwangu utamlipa elf 50 au lk 1 kutokana na umbali
iii.Wkt wakufanya malipo n vzr akawepo na mwanasheria wako ili Biashara ifanyike kisheria kama huna ntakupa mwanasheria Wangu utamlipa lk 2
iv.Serekali ya mtaa husika ishirikishwe toka hatua za awali hadi hatua ya mwisho ya manunuzi
v.Wkt wakununua Kiwanja au Nyumba hakikisha Mme na mke wanakuwepo wote na wanabandika picha zao,majina yao,namba za simu zao za NIDA na sahihi zao kama n Kiwanja cha URITHI AU UKOO WAWEPO WANANDUGU WOTE
Fanyeni hivi wkt wote usikwepe hawa watu wote eti UNAPUNGUZA GHARAMA SIO VIZURI (bora usinunue kabisa ukajipange kwanza) na hakuna SHORT CUT HAPA
CHANGAMOTO
Msisahau kwamba kuna HATI FEKI,SKETCHI FAKE,NYUMBA AU KIWANJA ANAUZA MME MKE KESHO ANAFUNGUA KESI MAHAKAMANI NYUMBA N YA FAMILIA nk. VURUGU N NYINGI SANA KTK ARDHI MUNGU AWABARIKI SANA
0767241001Kwa mahitaji ya Nyumba za kupanga popote MWANZA
Sent using
Jamii Forums mobile app