House4Rent Karibu upate nyumba ya kupanga Mwanza

Bado mnatafuta NYUMBA/PLOT MWANZA?

  • 1.Ndio

    Votes: 5 83.3%
  • 2.Hapana

    Votes: 1 16.7%
  • 3.Sijui

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    6
  • Poll closed .
Bwiru
Nyumba inapangishwa
Vyumba vitatu
Master bed room 1
Dinning&sitting room
Air conditions (sitting room&master room)
Maji ya moto&baridi yakuoga
Servant quarter (Chumba Sebure)
Parking & security camera
Makabati kila chumba
BEI mil 12 kwa mwaka
0767241001 TUPIGIE

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • IMG_20200228_131243.jpeg
    33.1 KB · Views: 2
  • IMG_20200228_131211.jpeg
    28.8 KB · Views: 2
Nyamanoro
Vyumba Vinne
Master bed room 2
Sitting & dinning room
Kila Chumba kina kabati
Jiko&store
Ndani ya fensi kuna Nyumba 1 tu
Dk 1 toka kwenye RAMI KWA KUTEMBEA
Bei mil 7 kwa Mwaka
0767241001 Tupigie

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • IMG_20200228_114154.jpeg
    28.2 KB · Views: 2
  • IMG_20200228_114501.jpeg
    39.3 KB · Views: 2
  • IMG_20200228_114223.jpeg
    24 KB · Views: 2
Buzuruga Shule
Vyumba viwili
Vyote n master bed room
Sitting & dinning Room
Jiko&store
Maji&umeme Wa kwako
Dk 2 kwa kutembea toka kituo cha shule
Bei mil 3 kwa mwaka
0767241001 Tupigie


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lwagazara
Gorofa linapangishwa
Vyumba Vinne
Floor ya chini kuna Master bed room tatu
Dinning & sitting room
Jiko& store
Floor ya pili
Kuna Master bed room 1,changing room,sehemu ya kupungia upepe na kasehemu kakunywea WINE
Pia kunachumba cha kupaki Gari
Kwa nje kuna KIMBWETA CHA KUSOMEA
BEI N $800 kwa mwenzi
0767241001 Tupigie
View attachment 1372590

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bwiru Gorofa linapangishwa
Master bed room 4
Floor ya kwanza
Ina Chumba kimoja
Sitting& dinning room
Jiko&store
Floor ya pili kinavyumba vitatu
Kwa nyuma kuna servant quarter
Inavyumba vitatu
Geti linafunguka kwa RIMOTI
Nyumba inafenicha zote za ndani(unaingia na begi tu)
BEI MIL 12 KWA MWAKA
Security ya kutosha
0767241001 Tupigie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bwiru
Nyumba mpya inapangishwa
Vyumba vitatu
Kila Chumba kina kabati na AC
Sitting & dinning room
Jiko&store
Maji moto& baridi yakuoga
Ndani ya fensi kuna Nyumba 1 tu
BEI mil 10 kwa MWAKA
0767241001Tupigie

Kwa video zaidi follow acc.yangu Instagram@nyumbanzuribeinzurimwanza



Sent using Jamii Forums mobile app
 
IGOMA nane8
Nyumba mpya inauzwa
INA HATI KABISA
Eneo n 25mx40m
Vyumba Vitatu
Master bed room 1
Sitting & dinning room
BEI MIL 45
MAZUNGUMZO YAPO
0767241001 TUPIGIE
NB
Bei ya Nyumba zilizopo sokoni
Kuanzia Mil 3 (chumba Sebure IPO Kishiri eneo kubwa) hadi Bil 2.5 IPO Mjini kati



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyasaka
Vyumba viwili
Master bed room 1
Sitting room
Jiko & store Yake
Public toilet
Ndani ya fensi
Bei mil 2 kwa mwaka
Miezi 6 ruksa
Dk 2 toka kwenye rami
0767241001 tupigie

Kwa video zaidi follow acc.yangu Instagram@nyumbanzuribeinzurimwanza

Changamoto ya hii Nyumba iko mbali na barabara ya RAMI wastani Wa DK 20-30kwa kutembea
NB
Tumazo Nyumba za kupanga kila kona ya Mwanza bei kuanzia elf 40 nk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiwanja kipo NYAMUHONGORO
SOKO JIPYA
KINA OFFA KABISA
SQM 400
BEI MIL 6
MAZUNGUMZO YAPO
0767241001 TUPIGIE
NB
TUNAVYO VIWANJA BEI KUANZIA MIL 1.5 HADI MIL 600 KILA SEHEMU MWANZA

Kwa video zaidi follow acc.yangu Instagram@nyumbanzuribeinzurimwanza




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mjini kati Mwanza Ukumbi unakodishwa
Eneo SQM 320
AIR CONDITIONS 3
VYOO VINNE(WANAUME/WANAWAKE)
FLOOR YA PILI GOROFANI
PANAFAA SANA KWA BIASHARA YA BETTING,BENK,OFISI,KWA SHEREHE AU HOTEL NK
BEI MIL 3O KWA MWAKA
FLOOR YA 3 KUNA UKUMBI WA WAZI (MIL 18 KWA MWAKA) JENGO HILO HILO
0767241001TUPIGIE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KILA SEHEMU MWANZA
Tunazo Nyumba za kila sehemu Mwanza bei kuanzia elf 40 NK

Nyumba za kununua zilizopo sokoni Leo bei kuanzia mil 3 hadi Bil 2.5

Viwanja bei kuanzia mil 1.5 nk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kishiri Nyumba mpya inauzwa
Vyumba vitatu
Master bed room 1
Sitting&dinning room
Jiko&store
Eneo n SQM 511
Pamepimwa (upimaji shirikishi)
Document zote zipo
Dk 3 Kishiri center kwa kutembea
Bei mil 45
Mazungumzo yapo
0767241001 tupigie

NB
Ninayo NYUMBA IGOMA INA HATI NZURI SANA SANA IMEKAMILIKA KILA KITU VYUMBA V3,MASTER BED ROOM,SITTING, DINNING, JIKO & STORE ENEO SQM 610 INAUZWA NA BENK MIL 35 MWENYE PESA AJE CHAP KIDOGO HAKUNA MAZUNGUMZO HIYO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkolani
Nyumba MPYA INAPANGISHWA
VYUMBA VIWILI
MASTER KIMOJA
SITTING ROOM
JIKO&PUBLIC TOILET
UMEME&MAJI WA KWAKO
NDANI YA FENSI
KUNA NYUMBA 2
KUTOKA KWENYE RAMI DK 3 KWA KUTEMBEA
BEI MIL 3 KWA MWAKA
MIEZI 6 RUKSA
0767241001 TUPIGIE
KWA video za nyumba hizi
follow acc.yangu istagram
nyumbanzuribeinzurimwanza


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • IMG_20200305_135255.jpeg
    34.4 KB · Views: 2
  • IMG_20200305_141006.jpeg
    10.3 KB · Views: 2
Nane8
Nyumba inauzwa
Vyumba vitatu
Master bed room 1
Sitting&dinning room
Jiko&store
Eneo 40mx30m
Eneo lina HATI KABISA
BEI MIL 55 MAZUNGUMZO YAPO
(hii Nyumba mafundi wanaendelea na Kazi kadri inavyochelewa kununuliwa na bei inabadirika)
0767241001 Tupigie
KWA video za nyumba hizi
follow acc.yangu istagram
nyumbanzuribeinzurimwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkolani apartments zinapangishwa
Vyumba viwili
Sitting room
Public toilet
JIKO
MAJI&UMEME WA KWAKO
Sehemu ya kufulia Nguo nzuri
Ndani ya fensi zipo Nyumba 4
Bei mil 3 KWA mwaka
Miezi 6 RUKSA
DK 5 TOKA KWENYE RAMI KWA KUTEMBEA
SECURITY YA KUTOSHA
PARKING KUBWA SANA
0767241001 TUPIGIE
KWA video follow acc.ya istagram
nyumbanzuribeinzurimwanza

NB
MKOLANI NINA CHUMBA SELF NA SEBURE KIZURI SANA SANA KIPO KWENYE RAMI BEI MIL 1.5 KWA MWAKA MIEZI SITA RUKSA

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • IMG_20200305_160937_505.jpeg
    88.5 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…