nyumbanzuribeinzuri
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 2,144
- 276
- Thread starter
-
- #1,201
bajeti???Mkuu, na weza kupata chumba na sebule maeneo ya nera au uhuru, rufiji and around
Bei hiyo nyamhongolo au BusweluMkuu kwa bajeti ya million 4 hadi 5 naweza kupata kiwanja maeneo yapi mazuri yenye maji na umeme na sio uswahilini?