nyumbanzuribeinzuri
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 2,144
- 276
- Thread starter
-
- #1,221
Ninavyo viwanja viwili vilivyopimwa. Busweru, barabara ya kwenda kahama. Kwenye njia panda ya ilalila. Km 3.5 kutoka alimashauri. Vimepimwa vina hati na vimelipiwa kodi up to 2021/22. 17m each plot. Kimoja ukitaka unapata.Vip naweza kupata kiwanja kilichopimwa kwa malipo ya awamu?
Sqm 750 na 815Ninavyo viwanja viwili vilivyopimwa. Busweru, barabara ya kwenda kahama. Kwenye njia panda ya ilalila. Km 3.5 kutoka alimashauri. Vimepimwa vina hati na vimelipiwa kodi up to 2021/22. 17m each plot. Kimoja ukitaka unapata.
Dah! hizi picha ulipiga mwenyewe au ni msaada wa googleVipo Viwanja vinaanzia mil mbili na kuendelea ambavyo vinaupimaji shirikishi pia tunavyo ambavyo havijapimwa kabisa bei zake n mil 2 nk BEI ZA VIWANJA ZINABADILIKA KUTOKANA UKUBWA NA UMBALI KUTOKA CENTER AU BARABARA KUUView attachment 1115229View attachment 1115231
0767241001Inahitajika Nyumba ya vyumba kuanzia 3 na kuendele amaeneo ya kapripoint/ isamilo. Isiwe ghorofa na iwe ya peke yake kwa compound, hata kama inahitaji marekebisho/matengenezo inapokelewa.
Hii Nyumba bado ipo kama ipo nijulishe Kwa namba 0755017218Buhongwa
Olympics sheli
Vyumba 2
Sebule kubwa
Jiko lipo nje
Ndani ya fensi kubwa
Choo ndani kwa ndani
Dakika 1 barabara kuu
Mil 2 kama utalipa kwa mwaka
Kama n miezi 6 ni m 2.5/2
0767241001
0620690670
View attachment 1121655View attachment 1121657View attachment 1121658View attachment 1121659View attachment 1121662View attachment 1121664View attachment 1121666
HapanaHii Nyumba bado ipo kama ipo nijulishe Kwa namba 0755017218