nyumbanzuribeinzuri
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 2,144
- 276
- Thread starter
-
- #1,361
vipo Boss vya Bei hiyo vingi TU maeneo mbalimbaliWeka na viwanja vya bei ya mwananchi Chief, mil 2,3,4,4.5 hadi 5.
Naona viwanja naviona vya mil 50+
Chief vipi? Viwanja vizuri maeneo ya Kahama (buswelu) vinapatikana kwa bei gani?IGOMA
VYUMBA VITATU VYA KULALA ((CHUMBA KIMOJA SELF))
SITTING
DINNING
KITCHEN
ENEO SQM 600
BEI MIL 45
0767241001View attachment 1819463
Mkuu hizi nyumba zinazouzwa uwe unaweka picha moja moja hizi screen shot hazionekani vizuriBUSWELU
Nyumba INAUZWA
vyumba VINNE VYA KULALA
((self mbili))
SITTING
DINNING
KITCHEN
ENEO SQM 1200
PAMEPIMWA
BEI MIL 76
0767241001
NB
IPO SEHEMU NXR SANAA, UMEME NA MAJI VIPOView attachment 1820193
Uko Mwanza ?Chief vipi? Viwanja vizuri maeneo ya Kahama (buswelu) vinapatikana kwa bei gani?
Na vipi maeneo ya igoma kama unaelekea kishiri hadi kishiri kwenyewe, bei zake zimekaaje?
Asante kwa ushauriMkuu hizi nyumba zinazouzwa uwe unaweka picha moja moja hizi screen shot hazionekani vizuri
ndioUko Mwanza ?
mil 1.5 nkChief vipi? Viwanja vizuri maeneo ya Kahama (buswelu) vinapatikana kwa bei gani?
Na vipi maeneo ya igoma kama unaelekea kishiri hadi kishiri kwenyewe, bei zake zimekaaje?
Yeap, nipo mwanza chiefUko Mwanza ?
Ni maeneo gani sasa hivi panafaa kwaajili ya makazi huko Mwanza na kwa bei za wananchi?Yeap, nipo mwanza chief
Kiseke, Buswelu, Kangae, Nyasaka, Kahama, Nyamhongolo.Ni maeneo gani sasa hivi panafaa kwaajili ya makazi huko Mwanza na kwa bei za wananchi?
Kupandisha picha moja dk2???HUKU NAWAPUNJA SANA NAJUA KWASABABU KUPANDISHA PICHA MOJA UNACHUKUA almost DK 2 SASA ILI UPANDISHE PICHA NYINGI USIMAMISHE MAMBO MENGINE INGIENI KULE ISTAGRAM MFOLOW @dalalimwanzanzima1
ndio mm mm namba ya CMU ndio hii mnayo ona hapa mkikuta tofauti sio mm