nyumbanzuribeinzuri
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 2,144
- 276
- Thread starter
-
- #1,521
Nitakutafuta mkuu, nahamia mwanza kikazi hivi karibuni na nitahitaji nyumba, muda ukifika ntakustuaFremu za biashara mjini kati/pembezoni mwa mji
(Mjini Bei 1.2 -10mil@mwaka)
(Mtaani elf40-lk2)
Nyumba za kuishi
kuanzia chumba kimoja/Nyumba nzima
(Bei 40elfu-10mil@mwaka)
Viwanja pia vinapatikana vilivyopimwa na visivyopimwa
Tambalale/mlimani chaguo lako
(Bei mil 1.5 nk)
Contact
0767-241001(what's up)
0620-690670
NB
Taja sifa ya Nyumba unayotaka, bajeti yako, tutakutumia what's up picha, Pigeni simu mkiwa na maandalizi
Usikubali kuzungushwa kutwa nzima Na MADALI !!