Jipatie Siagi ya karanga
Senior Member
- Apr 20, 2024
- 106
- 287
Hongera sana unapatikana wapi?Bidhaa zipo nyingi , huu ni msimu wa wana JF kujenga Afya bora
Ahsante , Nipo Chamanzi Mzigo huwa nasambaza madukani , na mwingine nafanya delivery.Hongera sana unapatikana wapi?
Yes kiasNaomba kujua kama mmepunguza mafuta kiasi kwenye karanga au zimebaki n mafuta yake yote?
Nitakuungisha . peanut butter Ina faida nzuri sana.. Kilo moja ya karanga hukosi net profit 50-60Ahsante , Nipo Chamanzi Mzigo huwa nasambaza madukani , na mwingine nafanya delivery.
Mada kama hizi ndio zingefaa sana kuzipush ili kuhamasisha wengjne wanaohangaika na ajira na kipatoKaribu upate peanuts butter ,ujenzi bora wa Afya yako .
Hizi waweza kuzitumia katika uji
Waweza kutumia katika Mboga
Waweza kutumia katika Chakula Kama kupika mihogo , ndizi
kwenye Mapishi: unaweza kuiweka katika Nyama, kande, Mboga za Majani na hata kupaka juu ya Mkate.
Bei ni kuanzia elfu nne 4000, na 6000 Elfu sita na kuendelea.
Karibu Sana.
Pia kwa wale wenye familia peanuts butter zinasaidia Sana kwenye swala zima la Mboga.
Location tunapatikana Dar es Salaam , tunafanya delivery. na mikoani tunatuma.
Mawasiliano 0699604908
Jina, Dada Siima.
Karibu Sana.
View attachment 3305840
ππ½ππ½ππ½Mada kama hizi ndio zingefaa sana kuzipush ili kuhamasisha wengjne wanaohangaika na ajira na kipato