EllySkyWilly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 2,204
- 2,085
Habari za leo wakubwa,
Nimeamua kujifunza kupitia jukwaa hili nikiamini katika, jukwaa hili kuna walimu wa hivi vitu na wataalam mbalimbali.
Kiukweli nimeamua kujifunza kudizaini nyumba mimi mwenyewe. Sijasomea uchoraji popote. Nilianza kutokea sifuri mimi mwenyewe na hapa ndipo nilipofikia na bado naendelea huwa sikati kwa jambo nililo amua kulifanya.
Madhumuni makubwa ya kujifunza nina kwasababu napenda tu kama vile mtu anavyopenda kucheza mpira ili kuchangamsha ubongo na kuburudika namimi napenda kudizaini hizi nyumba kwasababu kama hizo ili tu nichangamshe ubongo na kuburudika.
Hivyo niliona kupitia jukwaa hili nitajifunza mengi na kupata changamoto mbalimbali ambazo zitanifunza na kunipa moyo zaidi.
Ningekua na muda ningeenda chuo kabisa nijifunze changamoto yangu ipo kwenye muda wa kwenda huko chuo.
Ninakubali na kuheshimu michango yote ya wadau katika jukwaa hili.
Sasa leo nimekuja na hii dezaini tafadhari kama kuna makosa nimeyafanya hapa nahitaji comment yako, ili niendelee kujifunza zaidi mchango wako ni muhimu sana.
Unaweza kuona hizi picha hapa,