Karibu uwekeze kwenye biashara ya magari used

uko sawa
 
Kwahiyo mtaji unatakiwa uwe nao kuanzia kiasi gani??
nimeandika hapo 8m japo hadi chini ya hpo unaweza kuanza lakini kwa kuanzia na 8m au 10m unapata gar ambyo haina chngamoto na zile gari pendwa kama ist,runex,spacio nk
 
naomb niulize swal unawezaje kukabilianatna changamoto ya gari za uwizi
 
Bajaj na ubber ya gari kipi kinalipa
 
naomb niulize swal unawezaje kukabilianatna changamoto ya gari za uwizi
swali zuri kabla ya kununua gari ni lazma tujiridhishe na documents za gari kama ni halali na pia lazma tujiridhishe kuwa kilichomo kwenye documents ndicho kilicho kwenye gari kuanzia chases,body type engine nk.

so kwa hilo uzoefu upo
 
Bajaj na ubber ya gari kipi kinalipa
bora gari kidogo japo bajaj ukiwa una park eneo zuri pia unapata pata maana kwa bajaji kuna competition na boda hvyo mtu anaamua achkue tu gar sabab bei ya gar na bajaj hazija achana
 
Hivi kununua gari IST zambia au Malawi ni bei gani na kuvusha mpaka Tanzania inafika sh. Ngapi ? Kwa wenye uzoefu
 
Hapa umetupiga kamba mkuu,hakuna mtu anayetafuta pesa ya halali kwa jasho lake kisha aende kuzigawa hovyohovyo kwenye bendi.

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…