Karibu wewe muhitaji....je unayo 38---45

Karibu wewe muhitaji....je unayo 38---45

devotha kato

Member
Joined
Jul 10, 2012
Posts
5
Reaction score
1
Mimi ni mwanamke wa umri wa miaka 30,natafuta mwenza kupitia jukwaa hili.Sifa nizitakazo kwa huyo mwenzi awe na muonekano mzuri tu na awe nakipato walau chakujikimu yeye mwenyewe kama una mtoto walau mmoja au wawili si mbaya sana hapa tunaweza kusaidiana kulea.Mimi nimeajiriwa hapa Dar na nina muonekano mzuri.

Yeyote aliye na uhitaji kama wangu kwa kumaanisha anaweza kuniPM au anaweza kutumia devothakato@hotmail.co
nasisitiza kama huna huitaji plizzz usisumbue,,,,,naahidi kujibu kila email itakayotumwa.
 
Huwa mnakosea kitu kidogo.
Wekeni picha zenu pia punguzeni masharti. Khaaa!
 
Huwa mnakosea kitu kidogo.
Wekeni picha zenu pia punguzeni masharti. Khaaa!

mbona mimi sijaweka mashart yakutisha?ambayo tena wala si magumu? alafu tuweke picha hapa inahusu?ambaye yuko tayari picha yangu nitamtumia kwa email ndo maana nilisema mwenye uhitaji.Sioni kama kuna ulazima sana wakuweka picha hapa kwenye jukwaa.

Asante kwa ushauri.
 
kweli jaman picha muhimu, mwanamke mvuto ati!!!
 
mi nitajiridhisha vipi kma kweli we unavutia
jaribu tu kufikiria mwenyewe hapo hujanitendea haki
mi ni muhitaji ila hapa hujanitendea haki
 
mi nitajiridhisha vipi kma kweli we unavutia
jaribu tu kufikiria mwenyewe hapo hujanitendea haki
mi ni muhitaji ila hapa hujanitendea haki

Hahahah....true dat.
 
Back
Top Bottom