KaribuAutoservices kwa ajili ya services zaGari yako

KaribuAutoservices kwa ajili ya services zaGari yako

Jerry santonga

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2014
Posts
645
Reaction score
562
KaribuAutoservices located at Mwananyamala
Ni garage inayojishughulisha na
1.Car body works mfano.kunyoosha na kupiga rangi sehemu iliyopata hitilafu ama gari nzima..
2.Mechanical work...matatizo yote ya Engine hapa ni suluhisho kwake
3.Tunashona seat covers
4.ushauri wa kitaalam wa gari yako
5.Key programming
6.Car diagnosis
7.Autoelectrical work mfano matatizo kwenye mifumo yote ya umeme mfano taa horn n.k
Follow us on instagram kwa kazi zetu mbalimbali @karibuautoservices
0692950167
0712046405
0762227270
Karibuni bei zetu ni za kujali
"Satisfication guaranteed"
 
Mikoani vipi, mpo?

Maana mnaandika kana kwamba jukwaa hili ni la wana Darisalama pekee...

Mimi niko Shinyanga mkuu. kama mna branch Mwanza, siyo mbali sana ni takribani kilometa 150 hivi, kuifuata huduma huko siyo mbaya sana...
 
Vipi nataka huduma ya diagnosis mnayo? gari ni ist check engine inawaka mnachaji sh ngapi?
 
Mikoani vipi, mpo?

Maana mnaandika kana kwamba jukwaa hili ni la wana Darisalama pekee...

Mimi niko Shinyanga mkuu. kama mna branch Mwanza, siyo mbali sana ni takribani kilometa 150 hivi, kuifuata huduma huko siyo mbaya sana...

Kaka hatuna branch huko ni hapa Dar es salaam tu ila tukikua tutasambaza huduma zetu mpaka karibu yako karibu hata ututembelee ukiwa Dar es salaam
 
Back
Top Bottom