Jerry santonga
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 645
- 562
Mwananyamala manjunju roadEleza mnapatikana wapi?
45,000/=Vipi nataka huduma ya diagnosis mnayo? gari ni ist check engine inawaka mnachaji sh ngapi?
Mikoani vipi, mpo?
Maana mnaandika kana kwamba jukwaa hili ni la wana Darisalama pekee...
Mimi niko Shinyanga mkuu. kama mna branch Mwanza, siyo mbali sana ni takribani kilometa 150 hivi, kuifuata huduma huko siyo mbaya sana...
Kaka hatuna branch huko ni hapa Dar es salaam tu ila tukikua tutasambaza huduma zetu mpaka karibu yako karibu hata ututembelee ukiwa Dar es salaam