Karibun Eidy nyumbani kwangu

Animal Keeper

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
348
Reaction score
282
Habarin wakuu
Karibuni Eid nyumbani kwangu!
Maelezo mafupi ili ufike kwangu
Panda gari hapo ubungo! Ni mwendo wa masaa ma4 then ukishuka msamvu stand moro unapanda dalala nauli 400 unashuka mjini unapanda bodaboda nauli 5000 unashuka mlima uruguru, then unatembea masaa ma2 utakutana na usafiri wa punda we panda watakupandisha huku mlimani kabisa ni mwendo wa masaa matatu then unavuka mto kwa kuogelea hakuna kivuko then utatembea kama masaa matano tu utakua umefika kwangu karibuni sana asee nimechinja mbuzi kuku kondoo na wale ndugu zangu wa iringa nimewaandalia supu ya mlinzi yule anae lia woo wooo wooo! Karibuni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nategemea kupata wageni wengi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…