Karibuni Banana, Dar tumefungua ofisi mpya ya wanasheria, washauri wa kodi na wahasibu

Karibuni Banana, Dar tumefungua ofisi mpya ya wanasheria, washauri wa kodi na wahasibu

Brojust

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
349
Reaction score
1,024
Karibuni sana hapa Banana, Tumefungua ofisi mpya kwa huduma zilizopo hapo juu; Licha ya hayo, pia;
1. Tunasajili Kampuni, jina la biashara
2. Tunasajili Miradi ya uwekezaji (TIC)
3. Tunafuatilia leseni, TIN, number
4. Maandalizi ya Business strategic plans Business Proposal
5. Maandalizi ya Documents za kuombea mikopo.
6. Kujanza na kuomba tender.
7. Pia tuna timu ya madalali waliosajiliwa wa nyumba, viwanja na magari.

Karibuni sana, Tuwasiliane kwa namba za simu 0710782874 au 0693784003
 
Anzeni kufanya na project analysis na evaluation.. Au mnaweza kuwa broad kabisa mkafanya project management, unaongeza staffs kidogo unapiga hela. Watu wana miradi inawapasua kichwa na muda wa kutosha wa kuisimamia hawana. Kikubwa ni kuweka tu set ya minimum capital invested kwenye project ili usije ukaletewa miradi million 10 usimamie, which is crazy.
 
Back
Top Bottom