Ahsante, Jamani si ntashindwa kuondoka humu kama mambo ndio mazuri kiasi hiki.[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji136]Karibu mgeni[emoji513][emoji512][emoji508][emoji499][emoji493][emoji498][emoji502][emoji501][emoji492][emoji487][emoji490][emoji491][emoji488][emoji489][emoji506]
[emoji12]
usimwogope mie ntakuteteaHahaha namuogopa[emoji16][emoji23]
Basi ngoja uwandaliwe uku stor zinaendelea [emoji4] [emoji4]Vileja, kachori, kababu vyote nakula miee [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Usijali wacha nende navyo taratibu.[emoji2] [emoji2] [emoji2][emoji23][emoji23]kula ujiskie
Yah ndomana tumeanzisha uzi kwa ajili ya kumaliza stori huku ,maana huko kwingine hakuendeki ni ban kwenda mbeleKweli kabisa my mana siku zote haina mwenyewe unaweza kushangaa story zimenoga kumbe mnavuka mipaka. [emoji2] [emoji2]
Hahaha pakulala kupo usijalAhsante, Jamani si ntashindwa kuondoka humu kama mambo ndio mazuri kiasi hiki.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Itapendeza kukiwa na juice ya ukwaju bardiiii. [emoji23] [emoji23]Basi ngoja uwandaliwe uku stor zinaendelea [emoji4] [emoji4]
juice ya ukwaju ipo sema sio ya baridii vuta subra kidogo maana ndo tumeiweka saiv[emoji493] [emoji493]Itapendeza kukiwa na juice ya ukwaju bardiiii. [emoji23] [emoji23]
hana cha pesa wala nini ,huko analishwa tambi kwa kijikoItakua asaiv anapokea pesa huko aliko[emoji12][emoji12]
Hata sina naeno hata hiyo ya uvugu vugu inatosha.[emoji23] [emoji23]juice ya ukwaju ipo sema sio ya baridii vuta subra kidogo maana ndo tumeiweka saiv[emoji493] [emoji493]
haya ngoja wakuletee mkuu maana tukajua mpenda vya baridi kama wakina siyeHata sina naeno hata hiyo ya uvugu vugu inatosha.[emoji23] [emoji23]
hapana ile ya kule ndo huwa wanamixer na kile cha arushaHii kahawa ya huku imechanganywa na bange.
naaam ukizidisha walewa aiseekawaha ya huku ni kama kileo..
[emoji15] [emoji15] hela unayo lakiniUsiogope ni neno dogo tu limebeba maana ya undugu na iliyofichika ila sisi tutaenda kuifichua.
Weeee shidwaa katika jina LA yesuu pepo mchafu aliye kuingiaaa akutokwebabu yako yule sio haramu yako yule [emoji12] [emoji12]
Umeonaeee gari inaweza kugoma kupandaa mlima bhanaa bhanaa ukamsaidia kusukumahahaha na mkienda kuufichuwa hakikisheni nami nakuwepo kwa msaada zaidi
Nakuona[emoji87] unavyojipigia promoGia za angani balaa tu maana zipo manual za mkoloni.
Jiranii hii tabia sinimekukanyaaa mbn wanizibia riziki hili buzi niachie mwenyew keshajipendekeza kununua tule tu wine ngoja nikalichune.... Sasa unavyomwambia mpo wengi nawewe nijirani yangu huonii unaniharibia riziki[emoji6]angalia tu chombo kisikushinde ukateketeza familia mzee maana tupo wengi usije ukatutoa sadaka