Karibuni Baraza la Kahawa

Embu nisaidieni wana kiringe! Ili na mimi nipate gahawa ikiwa bado ya moto! Jamani mimi sio mpenzi wa kashata kabisa
 
Hapa kijiweni bhana kuna mada imeibuka,yaani mpaka kahawa yangu imepoa! Mada inasema: MAENDELEO NI YA VITU AMA NI YA WATU??
Maendeleo ni ya watu sio vitu
Maana vikuongezeka ubora ndio maendeleo yake.
 
Mwanzaa kumechafukaa watu watatu wanaohisiwa kuwa ni majambazi wameuwawa kutokana na majibishano ya risasi na askari polisi.........
jirani tupia na kapicha basii[emoji87] [emoji87]
 
Hapa kijiweni bhana kuna mada imeibuka,yaani mpaka kahawa yangu imepoa! Mada inasema: MAENDELEO NI YA VITU AMA NI YA WATU??
maendele yanahusisha watu na vitu ,maana uwezi kuyazungumzia maendeleo bila kuhusisha watu na vitu wanavyomiliki au kuwazunguka ,
 
Hao watu ndo wanaunda vitu na vitu vinampa mtu maendeleo so vinategemeana. Cndy wana kijiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…