This thread look like that thread of makapukuKwa wale wapenda story usisite kupita hapa. Tuje tupeane mawili matatu na kubadilishana mawazo, kupunguza msongo wa mawazo.
Tuko mubashara!
mwanahawa alikuwepo ila katoka na jamaa yake ,labda umsubirii
Mbn hiki kijiwe kimepouwa sana
naskia mzee Juma pesa zake za kinua mgongo alizopata toka Jeshini kanunulia volvo truck mtaani atupumui...
wacha we...!! Ntajitahidi nifikishe habari
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Ntashukuru sana ukifanya hivyo.....mwambie Bw. Nyoka_mzee akuongezee gahwa na mkate wa kumimina tafadhali. Haya nasepa mie, nakwenda kumsubiria pale Guest.
Kwema tu mkuu.....karbuKwema jaman humu?
kwema kabisa...baraza limepooza mzee mwenzangu aiseeKwema jaman humu?
hahaha majukumu mzee maana naona watu wanapambana na hali zao [emoji2] [emoji2] [emoji2]kwema kabisa...baraza limepooza mzee mwenzangu aisee
[emoji1] [emoji2] [emoji3] walioko free mchana wakaribie hahaha tupige gahawa kidogo au hata jioni pia freshhahaha majukumu mzee maana naona watu wanapambana na hali zao [emoji2] [emoji2] [emoji2]