Karibuni Baraza la Kahawa

Ubinamu wetu umeanzia humu,asaiv unaelekea kua ubinamu halali[emoji28][emoji1]
[emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22] mkishakuwa mabinamu halaliii...... Unijulisheee.......
....maana nitakuwa Jirani yako piaa[emoji4]
 
Hahaha jirani mashkhof ,hahaha sie mabinamu kweli acha wivu jirani ,hatekwi mtu kama ww upo [emoji2] [emoji2]
Wewe hee na hii hali ilivyongumu . ..keshaona banda la kahawa linaingiza 200-300 weeee.

Ila ukijihisi kutekwa unijulisheeee[emoji4] mi Jirani yko bhana
 
Wewe hee na hii hali ilivyongumu . ..keshaona banda la kahawa linaingiza 200-300 weeee.

Ila ukijihisi kutekwa unijulisheeee[emoji4] mi Jirani yko bhana
Hahaha Usikae mbali jirani kwa ajili ya kudumisha ulinzi shirikishi ,na ukiona viashiria vyovyote mie vya kutekwa basi usisite kuchukuwa hatuwa

ni mimi wako jirani yako mpendwa
Nyoka_mzee
 
[emoji1][emoji28]Utakielewa mana mm nikianzaga hua niko serious mpk naeleweka,ukichekacheka watakuona hujui
kumbee sasa inatakiwa wakati unaanza nifundisha uwe unanipa dawa ya usingizi ili nisiwe nacheka niwe serias kukusikiliza
 
Aisee kuna yule mwenyekiti wa huu mtaa hashauriki kabisa, ukizingua kidogo unapewa za uso...Juzi nimeenda kusalimia kwa kina Chausiku ile tu kumuita Shemeji ikawa kosa ndugu yangu...... Embu niongezee Gahawa hapa [emoji477] [emoji477]
 
Sawa mkuu tuweke na tangawizi kwenye Gahwa?

Yule wananchi washamchoka wamepanga kuweka mgomo kumuondoa maana anafanya kijiji kama mali yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…