Karibuni Baraza la Kahawa

Sawa mkuu tuweke na tangawizi kwenye Gahwa?

Yule wananchi washamchoka wamepanga kuweka mgomo kumuondoa maana anafanya kijiji kama mali yake
Na hili suala inabidi tulikalie kamati, kila nyumba ukipita hapa wanamsema yeye tu...kuna kitu hapa lazima...Zamani haikuwa hivi kabisa mzee mwenzangu
 
Hahaaaa
Kifo ni kifo tu.
inategemea mkuu kufa kizembe hasa mtoto wa kiume lazima ukachomwe ..maana mtoto wa kiume utakufaje kizembe?

Ni kweli kabisa ,ila shida kijiji hakina wazee ,kama wazee wangekuwepo basi naamini wangetumia utu uzima wao eidha wangemuita wamuonye watu hawaishi hivyo au wangetumia zana za asili kumweka kitako
Na hili suala inabidi tulikalie kamati, kila nyumba ukipita hapa wanamsema yeye tu...kuna kitu hapa lazima...Zamani haikuwa hivi kabisa mzee mwenzangu
 
kwa wale wapenda story usisite kupita hapa,Tuje tupeane mawili matatu,na kubadilishana mawazo ,kupunguza mzongo wa mawazo

Tuko :Mubashara!

Mzee mwenzangu na mvua zinaishia ishia aseee tunasubiri episode mpya ya ile series pendwa MY TANZANIA.
 
Mbona wewe hujaenda jeshini ili ukafe kishujaa
Kama unaona ni vyema..
 
Mzee mwenzangu na mvua zinaishia ishia aseee tunasubiri episode mpya ya ile series pendwa MY TANZANIA.
Naskia itakwenda mpara season Ten ,maana naskia jamaa katoa mpunga mrefu ili irushwe mpaka season ten
 
kweli kabisa, kila kitu kinahitaji kuwa na kiasi, wazee wa kijiji wakimkalia kitako lazima aelewe tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…