Karibuni Bata wa Zenj

Karibuni Bata wa Zenj

Masanilo

Platinum Member
Joined
Oct 2, 2007
Posts
22,286
Reaction score
4,523
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=tmW34SJENpg[/ame]

Mambo ya visiwani

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=gYuV1HEyKK8&feature=related[/ame]

Samaki huyo -jamaa wanambinua binua samaki.....bara mpo?
 
hahahahahahahahahahaha mambo ya kula jicho siooooooooooooooooooo. Nimekupata Dr. Masanilo, habari za Zenji?
 
Hii singo huwa inanitoa mate sana hivyo viuno wanavyo kata mawasiliano chini ya kitovu hukatika kabisa.
 
Huu mchezo wa kila nyimbo kutikisa makunduz waTz tumeotowa Zaire? Tulikuwa na ustaarabu wetu wa kucheza nyimbo hizi unaopendeza. Tumefikwa na nini?

¬K
 
aaah al battat!!! mambo safi haya
 
Al batat....hahahaha jamani karibuni hawa wapo tu tena hawana bei hata mcho ya samaki mtapata Zeenj
 
Mpwa hiii kitu ukienda pale kwa Rajju dah balaaa wazenj wanajua kurusha roho kisha pitia pale Wajela jela napo noma kinoma karibu na nyumbani kwa Mzee Mwinyi unaweza ukatoka kidogo mpaka pale makabulini ukakamata mzigo wa kona ukaenda kujirusha pale Gymkana napo papo poa sana.
Week end njema.
 
Astaghafiruuuuuuu!!!!!!...nd'o maana muungano hautovunjika.
Zenj mwataka mle bata na samaki nyie tu?..Haiwezekani...😀

Masanilo ya leo kali!
 
Kazi kubiruanabiruana halafu wanataka tugawane kila kitu sawa sawa
 
Back
Top Bottom