Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
https://www.jamiiforums.com/index.php?section=home
http://www.cms.ccmtz.org/index.php?setLang=3
Chama pekee chenye uwazi na uongozi bora. Matawi kede kede, tena duniani kote.
Chama pekee chenye uwazi na uongozi bora. Matawi kede kede, tena duniani kote.
AHADI ZA WANACHAMA WA CHAMA CHA MAPINDUZI
(1) Binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja
(2) Nitaitumikia nchi yangu na watu wake wote
(3) Nitajitolera nafsi yangu kuondosha umaskini, ujinga, magonjwa na dhuluma.
(4) Rushwa ni adui wa haki, sitapokea wala kutoa rushwa.
(5) Cheo ni dhamana, sitatumia cheo changu wala cha mtu mwingine kwa faida yangu.
(6) Nitajielimisha kwa kadri ya uwezo wangu na kuitumia elimu yangu kwa faida ya wote.
(7) Nitashjirikiana na wenzangu wote kujenga nchi yetu.
(8) Nitasema kweli daima, fitina kwangu mwiko.
(9) Nitakuwa mwanachama mwaminifu wa CCM na raia mwema wa Tanzania na Afrika.
Chama pekee chenye uwazi na uongozi bora. Matawi kede kede, tena duniani kote.
Kumbe bado mpo, eh?Mkuu wa nchi JK
Malalamiko yenu nimeyasoma vizuri na mengine yanahita kujibiwa. Lakini kabla sijajibu, hebu nielezeni ni nini kipya ambacho wapinzani wamesha fanya ili niamini kweli wana nia ya kujenga taifa?
Ukisoma katiba za wapinzani, zote hazina jipya zaidi ya kukopi na kuamend katiba ya CCM chama pekee chenye uongozi bora na uwazi.
Karibuni CCM,
![]()
Chama pekee chenye uwazi na uongozi bora. Matawi kede kede, tena duniani kote.
ccm ccm ccm ccm
mwakani tunalamba kama kawaida yetu.
karibuni ccm
ccm oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
![]()
Chama pekee chenye uwazi na uongozi bora. Matawi kede kede, tena duniani kote.
Unamaanisha kuwa CCM ndio wana mapya? yepi hayo? Tujuze nasi tuelewe maana kwa fikra zangu ndogo naona kama kaburi lao tayari inasubiriwa sanda tuu.Mkuu tupo pamoja kwenye chama cha Mapinduzi. Wapinzani hawana jipya zaidi ya longa longa tu.