Karibuni CCM

MaxShimba

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
35,771
Reaction score
4,065


Chama pekee chenye uwazi na uongozi bora. Matawi kede kede, tena duniani kote.
 
Asante sana kwa kutukaribisha. Huo uongozi bora uliopo ccm ulipatikana vipi, unatuongoza wapi na vipi, na unapimwaje? Na hao viongozi bora ni kina nani?
 

mhh! kusema kwepesi kutekeleza lingine
 
Chama pekee chenye uwazi na uongozi bora. Matawi kede kede, tena duniani kote.

Nilikuwa mwanachama fisadi sana lakini nikaokoka nikatoka kwenye chama chenu siwezi kurudi labda Mwl JK Nyerere afufuke. kwendeni zenu ufisadi utakiua chama chenu!
 
Malalamiko yenu nimeyasoma vizuri na mengine yanahita kujibiwa. Lakini kabla sijajibu, hebu nielezeni ni nini kipya ambacho wapinzani wamesha fanya ili niamini kweli wana nia ya kujenga taifa?

Ukisoma katiba za wapinzani, zote hazina jipya zaidi ya kukopi na kuamend katiba ya CCM chama pekee chenye uongozi bora na uwazi.

Karibuni CCM,
 
Uchaguzi huu kweli naona unakuja kwa kasi.

Humu kuna wana CCM njaa na kuna watoto mafisaidi na wakumbatia ufisadi .Hoja za kijinga nyingi kila kukika. Sasa huyu naye kaleta hoja yake badala aitetee anaanza na upinzani wapi na wapi . Kazi bado baba.

Lete Katiba ya Chama ambacho wame copy naku Paste. Then uonyeshe ushahidi kwamba CCM wana hati miliki ya mpangilio huo wa katiba.
 
CCM CCM CCM CCM

Mwakani tunalamba kama kawaida yetu.

Karibuni CCM
 


Umefanikiwa kuamsha hisia za wanaharakati na wapiganaji. Lengo lako limetimia. Wote wana hasira juu yako,viongozi wako, thread yako na chama chako kwa sababu vyote hivyo vimejaa WIZI MTUPU!
 


Chama pekee chenye uwazi na uongozi bora. Matawi kede kede, tena duniani kote.

  • Uwazi- wa kuiba mali ya umma maana hakuna kificho

  • Uongozi bora- ni kuwaua na kuwatesa wananchi walochoka na chama kizee cha ccm cha kifisadi

  • Matawi kedekede tena duniani kote- Mafisadi wa ccm wapo kila kona ya nchi mpaka wameweka mapesa ya wizi duniani kote ktk mabenki.
 
Mkuu tupo pamoja kwenye chama cha Mapinduzi. Wapinzani hawana jipya zaidi ya longa longa tu.
Unamaanisha kuwa CCM ndio wana mapya? yepi hayo? Tujuze nasi tuelewe maana kwa fikra zangu ndogo naona kama kaburi lao tayari inasubiriwa sanda tuu.
 
huwezi kuwa CCM bila ya kuwafisadi wala huwezi kuwa fisadi bila yakuwa CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…