Karibuni Chai ya Nazi

RASCO BOY

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2018
Posts
428
Reaction score
485
Vuta picha mfano ni wewe unatembea zako na miguu katika safari yako unafika njiani tumbo la kuwala linaanza kuzingua...Unaamua kuingia Chaka kupunguza uzito ile unamaliza Kunya unacheki kinyesi chako ili ukifukie ukioni hivi utafanyaje....?

Karibuni Chai ya Nazi

Sent using Jamii Forums mobile app pkease Change my Name to mkuu wa kaya
 
aaaah mbona easy tu... ntajua kuwa huyo simba wa nyuma hapo ameyachukua so ntaendelea na safari yangu kiroho safi
 
huyu simba lazima amfuturu huyo mzungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…