Karibuni Huduma care (safari yako ya afya njema inaanzia hapa )

Karibuni Huduma care (safari yako ya afya njema inaanzia hapa )

hungary

Member
Joined
Jan 20, 2025
Posts
9
Reaction score
8
Habari za wakati huu wadau wote wa jf

Nipende kuchukua nafasi hii kuwakaribisha kwenye kampuni yangu ya huduma care ambayo lengo la huduma care ni

Kuwapa huduma wagonjwa ambao wamelazwa hospitali kwa mudu na ambao wajiwezi kujiogesha , kujilisha , kujipaka mafuta na n.k
Na huduma zetu ni kama ifuatavyo

1. kuwaogesha wagonjwa ,kuwapaka mafuta ,kuwa Alisha nguo , kuwabadilishia shuka , kuwasafisha baada ya kijisaidia

2. Lishe , kuwalisha wagonjwa kutokana na ratiba Yao ya chakula

3. Kuwapa dawa kama ilivyo elekezwa na daktari
Package

Kwa ajili ya huduma namba moja tu gharama yake ni 30000 kwa siku 3
Kwa siku shilingi 10,000

Ambapo mgonjwa ataogeshwa , kubadilishiwa nguo, kufuliwa nguo zake alizokuwa amevaa siku usika , kupakwa mafuta na kusafishwa baada ya kijisaidia

Kwa huduma namba 2
Gharama yake ni 15000
Ambapo atapewa
Chakula Cha mchana
Chakula Cha usiku
Maji na juice

KARIBUNI sana kwa maelezo zaidi tupigie simu 0756899736

HUDUMA CARE.png
 
Good idea Ila mgeongeza na Huduma ya care giver ile kuwahudumia watu ambao sio wangonjwa Ila wanahitaji aungalizi na usaidizi wa karibu.

Mfano familia nyingi zina wazee ambao wapo Ila hawana wataalamu wa kuwapatia hiyo Huduma.
 
Sawa kiongozi nimelipokea niliwasilisha na fikiri tutaiweka na hii huduma pia
 
Mkuu una leseni ya kufanya Unachofanya? Je kitaaluma wewe ni nani? Je hapa Tanzania kuna Regulatory body ya shughuli zako? Je mna CRB report? Hii inahusiana na Criminal Record. Maana si rahisi nikupe ruhusa ya kuwa karibu na Mgonjwa wangu, achilia mbali mambo ya kumuosha, kumlisha nk. Ukini jibu maswali hayo kazi umepata.
 
Asante kwa maswali yako na nitayajibi kama ifuatavyo
Leseni ya kufanya nachofanya Sina isipokuwa Nina leseni ya utabibu

Kitaaluma mimi ni tabibu

Kwa hapa Tanzania nimefatilia na bado naendelea kufuatilia regulatory body ya huduma yangu sijafanikiwa bado ila nahisi hii utakuwa chini ya wizara ya afya

Kuhusu CRB report hapana kwa sababu kampuni yangu bado changa na hata ingekuwq kongwe isingekuwa na report mbaya ya CRB kwa sababu wito wangu ni kutibu na sio kufanya maswala ya uwalifu kwa wagojwa
Asante na karibu kwa maswali mengine
 
Asante sana kwa kuwa mkweli, ila jibu la mwisho ume-fail pakubwa. Haijalisha kama wewe ni mpya kwenye hiyo shughuli. Maana kuna watu walisha hukumiwa na kufungwa huko nyuma kabla kwa kosa kwa makosa kama sex offenders na mengine ya kitaaluma. But all in all I appreciate your guts. Well done.
 
Back
Top Bottom