Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Salaam wana Chit Chat!
Natumai popote mlipo Pasaka yenu imeenda na inaendelea kwenda vizuri.
Nichukue fursa hii kuwakaribisheni jikoni kwetu [mimi na Kisura....daddy-daughter tag team].
Leo bi mdogo wangu huyu kasema anataka kupika wali nami nikamwambia ‘pika tu mama yangu’.
Sasa wali umeiva na yeye angependa kuwakaribisha jikoni kwetu ili mjumuike nasi kwenye maakuli.
Ila tunakula wali na maziwa mgando [mtindi].
Karibuni sana.